Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,609
Umegeuza matokeo?Chadema wengi darasa la saba
Erythrocyte n Mjumbe wa kamat kuu Bavicha niniBavicha , ambayo ni Taasisi bora ya vijana barani Afrika, imetuma salamu za heri na fanaka kwa vijana wa Darasa la 7 nchi nzima wanaoanza mitihani ya kumaliza elimu ya msingi leo .
Ujumbe : HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA
Ni wakata viuno kwenye mikutano ya CCM, huwezi kukuta F6 anakata kiuno labda awe analipwaLeo Wanafunzi 1.1million wa Shule za Misingi Wanafanya Mitihani yao ya Kumaliza Elimu ya Msingi.
Kati ya Hao Wanafunzi 500,000 Wanatarajiwa kuchaguliwa Kuendelea na Masomo ya SEKONDARI.Je Wanafunzi Waliobaki yaani 600,000 mini HATIMA yao?
Je SERIKALI ina Mipango gani kwa Hao Wanafunzi?
Au Mzigo ni WA WAZAZI husika?
Au Ndio MACHINGA,BODABODA na WAPIGA DEBE kwenye STENDI za MABASI?
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
1.1 milioni? Mbonaidadi kubwa sanaa nisawa na population ya nchi Fulani kabisa[emoji23]