Wanagunzi wamefungua shule tarehe 6 january, kesho ni tarehe 16
Hivi ndani ya huo muda, walimu na wanafunzi wanaweza kuwa wamesoma kiasi cha kucover mada zote za darasa la saba?
Wanafunzi wa darasa la saba wote tz nzima hawakufunga almost mwezi wa kumi na mbili wote walikuwa wakisoma wakijiandaa kwa mitihani ya taifa kwa kuwa mwaka huu watawahi kufanya kwaajili ya uchaguzi mkuu, sidhani kama watakosa cha kujibu.
Wanafahamu kwa nini wanafanya hivyo, tujifunze kwa team inapocheza uwanjani, tulio nje (watazamaji) huwa tunakuwa wakufunzi great kuliko wataalam.Ninapokujibu hivyo hiyo yote naifahamu
Semina ilitolewa siku ya jumamos, zaidi walitoa maagizo na kuonya juu ya wizi wa mitihani unaofanywa na shule za hapa jijini pia waliwaagiza walimu wakajipange kwa kujiandaa na mtihani huo
Ajabu ni kesho mtihani utafanyika, je hayo maandalizi yatafanyika lini?
Sawa.Dar es salaam ndio Tanzania
Wanaume wa mikoani mtupishe kidogo
Inawezekana kiongozi mtihani itatungwa mfumo Wa necta ila topics zitaishia za darasa LA sita .wataacha topics za darasa LA sabaWanafunzi wamefungua shule tarehe 6 january, kesho ni tarehe 16
Hivi ndani ya huo muda, walimu na wanafunzi wanaweza kuwa wamesoma kiasi cha kucover mada zote za darasa la saba?
Darasa la saba kwa asilimia 95 halina mada mpya, masomo ya msingi yanaishia darasa la sita, darasa la saba ni "revision" tu (waste of time and resources).Wanafunzi wamefungua shule tarehe 6 january, kesho ni tarehe 16
Hivi ndani ya huo muda, walimu na wanafunzi wanaweza kuwa wamesoma kiasi cha kucover mada zote za darasa la saba?
Dada hawa ni mtaala wa zamani,usichanganye madesaDarasa la saba kwa asilimia 95 halina mada mpya, masomo ya msingi yanaishia darasa la sita, darasa la saba ni "revision" tu (waste of time and resources).
"Mtaala" wa zamani ndiyo darasa la saba kuna topics mpya ambazo hujafundishwa kuanzia la kwanza mpaka la sita?
Kwani mtihani wa darasa la saba unahusisha mafundisho yaliyofanyika mwaka wa saba tu?Wanafunzi wamefungua shule tarehe 6 january, kesho ni tarehe 16
Hivi ndani ya huo muda, walimu na wanafunzi wanaweza kuwa wamesoma kiasi cha kucover mada zote za darasa la saba?
Kama hujui kitu kuhusu elimu ya shule za msingi ni vema ukapiga kimyaDarasa la saba kwa asilimia 95 halina mada mpya, masomo ya msingi yanaishia darasa la sita, darasa la saba ni "revision" tu (waste of time and resources).
Sio kila kitu lazima upinge, kama huna hoja bora ukae kimya!Kwa nini iwe dar pekee,
kwa nini isiwe Rukwa na Simiyu?
Au ndiyo kampeni za kuishusha Kilimanjaro kuwa kinara wa Elimu?
Kwa nini iwe dar pekee,
kwa nini isiwe Rukwa na Simiyu?
Au ndiyo kampeni za kuishusha Kilimanjaro kuwa kinara wa Elimu?
Sampling.Kwa nini Waalimu wa dar tu?
Hapo Necta ameingiaje kwa masuala ya dar pekee?