HNIC
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 1,898
- 2,195
The word is Commander-In-Chief ameongezea kwenye maagizo kuwa lile darasa ambalo mawaziri na wakuu wa mashirika ya Umma watawekwa Kikaangoni na CAG lionyeshwe live kwenye Youtube Channel ya Ikulu, radio na TV ili watanzania wajionee wenyewe jinsi gani mawaziri, makatibu wakuu na mabosi wa mashirika ya umma watakavyojitetea kuhusu ubadhirifu uliotajwa kwenye ripoti ya CAG
Pia kana kama hiyo haitoshi Professa amepewa Carte Blanche ya kuwasomesha na kutowaonea huruma na ameambiwa kuwa hakutokuwepo kwa diplomatic niceties za kuoneana muhali yaani Chief atakuwa ndio Inquisitor in Chief huku Assad atakuwa ana play role ya
Jamba hili likotokea bas naamini itakuwa ni kwa mara ya kwanza mawaziri na wakubwa serikalini watakuwa on firing line na hiiitawa expose wengi sana na mwenye macho haambiwi ona kwa sababu the stage is being set ili ma incompetents kama akina Jenista Mhagama (ambaye Godfather wake sasa yuko taaban kiafya) itabidi wapewe W-2 au P45 zao
This is like putting waheshimiwa kwenye kile kipindi cha KITIMOTO kisha unapatia mafuta ya moto wajikaange nayo
I cant wait for this kwa kweli na Chief mwenyewe anataka baada ya hapo hii style ya kuwahukumu viongozi kwenye public na downhill style ikakuwa rolled out country wide kuanzia kwa madiwani mpaka wakuu wa mikoa na anataka wananchi wawatake to task hawa watu na pia anataka info zo kila maamuzi ya matumizi na manunuzi na na minutes za vikao viwekwe kwenye public domain kama vile mitandaoni ili mpate kujua kinachoendelea na kujua wabaya wenu ni akina nani na zabuni zimepitishwa na akina nani na kwa sababu zipi.
Basically Chief ana introduce direct democracy kama ilee iliyofanywa kwenye Road Show ya Kinana kwenye kilakata na wilaya nchi hii