Darasa la kutongoza kwa wanaume

kwani wewe ulitaka akutongoze vp? ndo ungetakiwa udadavue hiyo mistari
 
You are one confused and miserable young lady! Sleeping with every man who approached you lowers your dignity, but catching diseases will not be fun! Get your acts 2gether because you won't be young forever. Couples of years down the line, those men you're changing like underwares will nickname you "Easy going" because that's exactly what you'll be! God bless you.
Copy & paste. Bisha
 
Asante kwa compliments

Aise kama nataka nijenge mahusiano yenye heshima kwa mtu siwezi kuanza na masuala ya ngono
Ngono ni baadae sana baada ya kukujua na tumeshakula hata good time kidogo ndo sasa nitaingizia hilo

Ahhh unanikumbusha strategy zangu bana

haah haah haah mkuu hiyo strategy yako kwa sasa ipo expired.

Yani demu umu approach then akubali na uwe nae karibu na kula gud tym kadhaa then muda mrefu upite bila kuomba game?! Kwa madem wa sasa wanaweza kuhisi ww sio rijali.
Labda kama utakua hujamtongoza na akakukubalia kwa muda huo ambao mnakula gud tym bt kama kashakubali hapo kinachofuata ni kumpa bakora za ukweli otherwise atahisi una mwingine nje au atahisi hau function.
 
Yan hyo ya kutongoza kiheshima uchukua mda mref alaf mwisho wa siku anapigwa chini. Na ukiona katumia njia flan kukutongoza ujue kuna sehem alifanikiwa. Mie nkitongoza naomba mzigo moja kwa moja so hata tukiwa tunazungushana ni mzigo tu nataka mambo ya nakupenda yatakuja baada ya kuona quality ya mzigo. Sasa hizo njia za heshima nakupenda nying, akisha kubali unaanza tena application za mzigo tena wat 4 hii ni upotevu wa mda.
 
hapo ndo dada zangu siwaelewi kabisa!huyu jamaa wa tatu ye alikuwa muwazi kabisa na kukwambia AMEKUTAMANI,we ukammwagia mvua ya matusi(huna ustaarabu kabisa dadangu!!).mi nilidhani ni vema mtu kuwa mkweli tangu mwanzo?!so ulitaka aanze na mistari ya'yani nakupenda kuliko ubwabwa na maharage,nakupenda kuliko chai ya maziwa,yani niko tayari kufa kaajili yako hata kama unajua ni uongo we ungesikia raha tu??!!<br />
halafu bi-dada,mwanamke wa kweli hajisifii kuporomosha matusi,katika mazingira yoyote yale.we shukuru Mungu unatongozwa,wenzio wanomba mungu hata wasalimiwe!au basi ukianza tu kutongozwa uwe unawajulisha kabisa watongozaji namna gani unataka wakutongoze...lol!


Haaah haaah dah mkuu much respect, ulichosema kina ukweli fulani japo nimecheka mbaya haaah haaah dah yani kuna wanaoomba japo wasalimiwe tu haah haah

ok. swali kwa ma jery je una mtoto aitwa Jerry?
 
mimi ni mwanamke n
nilikutana na mkaka mmoja sijui alinipenda au alinitamani alivonitongoza kabla sijamjibu kuna siku akanipigia simu nasimu ya rafiki yake tumiit somewhere nilienda na akaja na huyo rafiki yake.tukaakaa wakaondoka.usiku yule rafiki akanipigia akaniambiadada mimi nimekupenda saana naomba tuwe pamoja huyu rafiki yangu ana mchumba tayari na keshamtambulisha kwao nikwamwambia sikutaki wewe wala huyo rafiki yako swali langu ni hv huyo mkaka alitegemea kwa kuniambia ivo ningemkubali?


2case
huyu mwingine kanitongoza nae usiku akanipigia helo helo eti dada umevaa underwear gani? kiukweli sikuwa na jibu na nikamdiscolify hapohapo naona kama hana adabu huyu



3case huyu ni mkaka wa kijijini kwetu
nilikutata nae town niko na marafiki zangu akaniita bembeni akaniambia yaani nimekutamani sana nikamuuliza unamaanisha nini akasema yaani nakutamani toka huko mdogo kiukweli tulimtukana sana
swali.wanaume hawajui kutongoza au ni vp? kwanini mnashindwa kuweka heshima mbele?
ina maana wanaume hamjui kutongoza kwa heshima

Nimeku-PM, ukisoma tu hutoki ng'o! lazima uje kwangu!
 
haah haah haah mkuu hiyo strategy yako kwa sasa ipo expired.

Yani demu umu approach then akubali na uwe nae karibu na kula gud tym kadhaa then muda mrefu upite bila kuomba game?! Kwa madem wa sasa wanaweza kuhisi ww sio rijali.
Labda kama utakua hujamtongoza na akakukubalia kwa muda huo ambao mnakula gud tym bt kama kashakubali hapo kinachofuata ni kumpa bakora za ukweli otherwise atahisi una mwingine nje au atahisi hau function.

Mwache aendelee na hiyo strategy yake ya wakati wa akina yombayomba---sio mbaya, wakatii yeye anakula nae good tym, wenzake wala vitu!!!
 
nakupenda sana
usiku silali nakuota wewe,
nikinywa maji nakuona kwenye glass,
NIKIENDA CHOONI NAKUONA KWENYE TUNDU LA CHOO
kiufipi wewe nikubali ufaidi friji, video na gari la baba pale nyumbani.
na kesho mama ananinunulia nguo ya sikukuu ya iddy tutaenda wote kuangalia video.
nakupenda kama apple na sukari.
 
Mwache aendelee na hiyo strategy yake ya wakati wa akina yombayomba---sio mbaya, wakati yeye anakula nae good tym, wenzake wala vitu!!!
mkuu umeona enh?
Kuna gal mmoja kuna brazamen alijifanya kumtokea na ahadi kibao, outing,shopping n.k akakubaliwa wakawa wapenzi ila jamaa eti akajifanya hamegi eti anaogopa ataonekana ana pupa.
At the same time huyo dem alikua kashamtosa boy wake wa mwanzo ili awe na huyu brazamen.
Sasa alipoona jamaa hamegi ikabidi atafute mwingine wa kumpa.
So mpaka leo brazamen anampa demu gud tym wakati mwenzake kitaa anakula mzigo daily mpaka demu amenogewa anaomba aolewe na mshkaji.
 
Hii thread!!

Derimto ukishamaliza hili darasa urudi na fimbo kabisa!

mi mwenyewe ssielewi!

nilitegemea kukuta darasa..sasa sie wengine tulishastaafu, actually sijui kama kuna anayeongelea mwanamke kumtungoza mwanaume cause thats the norm nowadays, hujambo lkn MJ1?
 
kutongoza hakuna formula.... Wengine niliwapata bila hata kutokea.... Halafu hapa mjini kufikuzia dem muda mreeeeeeefu ni ushamba tu.... Na hit to the point kama dem hasomeki napotea kuokoa mda na vocha.... Kitu gani...
 
Sio kitu cha siku moja kama nina nia na wew e
huwa inaanza mazoea na mazoea yanajenga urafiki na urafiki unaza uhusiano wa karibu ambapo naweza kukualika outing sehemu mbalimbali
sio kitu cha siku moja
Hapa naona unaongelea potential candidates, otherwise haiwezekani upoteze muda mwiiiingi kwa mapenzi ya dot com yale ya kukutana kugonga na kusepa.
 
Back
Top Bottom