darasa la kisasa

darasa la kisasa

Lokissa

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
7,445
Reaction score
2,507
6302993_orig.jpg

Picha kwa hisani ya wavuti.com
madawati hadi serikali kuu itengeneze?
halmashauri wanafanya nini? Picha hii imechukuliwa moro kwenye mbao za kumwaga
kwanini wazazi na viongozi wa kila kata wasijitume kuyatengeneza?
nakumbuka nkisoma moshi madawati yalikuwa mengi hadi stoo....
 
kwahiyo umeleta bandiko lako ili kuwatukana wa Moro na kuwasifia wa Moshi, inaelekea moshi wewe hujui na huijui Tanzania na huna uzalendo
 
moshi wanaongelea kuweka laptops na maji ya bomba kila shule,kule wanajitambua
 
Inauma sana, Serikali wanadai hawana pesa huku kila mwaka wananunua V8 za kutosha
 
kwa upeo wako utaona nimetukana Mkuu lakini sio hivo
kwa great thinker ataona nimetoa challenge ni kwanini wanafunzi wakae chini wakati miti ipo.Nimesoma shule Moshi nimeishi humo nimesoma humo sasa unataka nipajueje ndugu?
Watanzania wanataka kusifiwa hawataki kuambiwa ukweli.
Toa elimu hii kwa wazazi na maeneo ulipo kama ni Songea
madawati sio lazima wasubiri misaada vodacom au serikali kuu.
nimeweka hii picha kuonyesha uzalendo wangu,nikiwalilia watoto,
labda ulitaka uzalendo upi? niwasifie viongozi??

kwahiyo umeleta bandiko lako ili kuwatukana wa Moro na kuwasifia wa Moshi, inaelekea moshi wewe hujui na huijui Tanzania na huna uzalendo
 
6302993_orig.jpg

Picha kwa hisani ya wavuti.com
madawati hadi serikali kuu itengeneze?
halmashauri wanafanya nini? Picha hii imechukuliwa moro kwenye mbao za kumwaga
kwanini wazazi na viongozi wa kila kata wasijitume kuyatengeneza?
nakumbuka nkisoma moshi madawati yalikuwa mengi hadi stoo....

Stupid, eti uchumi unakua kwa asilimia 8 so says the Mgimwa (RIP)/Muhongo et al ! !!!!!!!!!!!!!!!! Stupid again!
 
Kwa nini serikali isi uze "UNGA" au "MENO ya TEMBO" unao/zinazokamatwa kila siku alafu hizo hela wakanunulia madawati na vifaa muhimu vya shule!
 
6302993_orig.jpg

Picha kwa hisani ya wavuti.com
madawati hadi serikali kuu itengeneze?
halmashauri wanafanya nini? Picha hii imechukuliwa moro kwenye mbao za kumwaga
kwanini wazazi na viongozi wa kila kata wasijitume kuyatengeneza?
nakumbuka nkisoma moshi madawati yalikuwa mengi hadi stoo....

Darasa wakati uo wa 20hadi 30 sasa 150. Hapo ukichelewa ndio unakaa huko mbele!
 
Kama Taifa sasa hivi tunashangilia ushindi wa Zitto.

Wachina waendelee na Tembo hadi waishe na Mabinti zetu wawe Punda sana tu wa Sembe.

Waarabu nao wabebe wanyama wote na wengine wabebe Madini.

Waingereza n Wanorway, wafyonze Gas yote hadi iishe, siyo tuna deal na Chadema kwanza.

Ahhh, hao watoto, wakae chini sana tu. Uzuri wake kukaa chini ni kuwa, unaweza kuwa unasoma huku unatawaza Makalio.
 
v8 ni matokeo yakukaa chini.viongozi wengi wameishi maisha ya tabu utotoni sasa wakipata nafasi wanafuta machungu ya zamani kwa v8 Prado na limousine za kutosh@
 
Hiv hiyo misaada wanayosema kila siku ya madawati na vitabu ni inaishia wap!!! Afu mbna wazazi kila kukicha michango ya madawati haiishi
 
Zito katusahaulisha mengi hata mambo ya katiba,wachina nk.
Tungempata kiongozi jasiri asiogopa mtu anaejali elimu tungekuwa mbali.
haingii akilini hadi leo watoto wanakaa chini wakati wakuu wa wilaya,ma RCO ,mawaziri wana mavx thaman ya moja ingetosha kununua madawati ya shule hata tatu..
 
Na wamekuja na sera nzuri ya matokeo makubwa sasa na uzuri wa hii sera yao inaanzia chekechea hadi elimu ya juu,teeehee teeehee kweli Tz ni moja kati ya maajabu saba ya dunia.
 
6302993_orig.jpg

Picha kwa hisani ya wavuti.com
madawati hadi serikali kuu itengeneze?
halmashauri wanafanya nini? Picha hii imechukuliwa moro kwenye mbao za kumwaga
kwanini wazazi na viongozi wa kila kata wasijitume kuyatengeneza?
nakumbuka nkisoma moshi madawati yalikuwa mengi hadi stoo....

Ms shule ipi kiongozi??
 
Khe! Nimekimbia jukwaa la siasa, nahuku nimekuta harufu hiyo hiyo!! Napita tu.
 
kwa upeo wako utaona nimetukana Mkuu lakini sio hivo
kwa great thinker ataona nimetoa challenge ni kwanini wanafunzi wakae chini wakati miti ipo.Nimesoma shule Moshi nimeishi humo nimesoma humo sasa unataka nipajueje ndugu?
Watanzania wanataka kusifiwa hawataki kuambiwa ukweli.
Toa elimu hii kwa wazazi na maeneo ulipo kama ni Songea
madawati sio lazima wasubiri misaada vodacom au serikali kuu.
nimeweka hii picha kuonyesha uzalendo wangu,nikiwalilia watoto,
labda ulitaka uzalendo upi? niwasifie viongozi??
nimesoma oldmoshi highschool stuli zilikuwa maabara tu, tulikuwa tunasoma Bam na siasa ndani ya chumba cha RR hakukuwa na dawati hata moja, o-level walikuwa wanakalia vipande vya kuni. My point as a GT ni kuwa unabeza mkoa mmoja vzvz mwingine wakati mikoa yote ni watoto wa mama mmoja.
 
|Old mosh high school???
hakuna madawati wanakalia kuni????
cant connect the dot.

Back
Top Bottom