Mkuu samahani, kupitia hiyo naweza kuondoa hiyo Administration password au kuinstall apps pasipo kuweka hiyo Administration password?Kwenye konboot pia Kuna feature inaitwa passwordless login. Ukichgua hiyo feature utaweza kuingia kwenye computer yenye password bila kutumia password yyt.
Ila ukizima na kuwasha tena ndio itadai. Unatumia hyo feature km hutak kubadili password