Darasa Huru: Ufundi Laptop (Beginners To Advanced)

Darasa Huru: Ufundi Laptop (Beginners To Advanced)

Hii PC nilikuwa naitumia ofisini, kuna kipindi nilitoka kikazi, nikamuachia aliyekuwa anafanya kazi na mimi.

PC watu wa IT waliweka Administration password, na hii mimi niliongea na mtu wa IT baada ya kuambiwa jamaa anaitumia Laptop vibaya.

Huko nilikoenda nimeshindwa kurejea pale ofisini na Laptop yangu nimeenda kuichukua. Shida ipo hapa, siwezi kuinstall chochote pasipo hii password kuwepo, siwezi kumake baadh changes pasipo hiyo password na naogopa kupiga windows sababu sifanya partition na nna vitu vingi mno vya msingi.
Ok Boss Hio Sio Bios Admin Pasaword

Ni Password Ya Windows, Sasa Naomba Kujua Free Disk Space Kwenye Hdd Yako.

Kama Inawezekana Unaweza Kufanya Partition Kuikata Ukapata Partition Mpya Kubwa Ukahamisha Vitu Vya Msingi Then Una Install Windows Upya! Hapa Tunatumia Easeus Partition Master!

Au Unaweza Kutoa Ku Reset Kwa PCUnlocker, Ita Reset Admin Password Ya W8ndows Bila Shida.

Software Zote Hizi Crack Zinapatikana Torrent Na Ukubwa ani 100MB Kwa 75MB

Naomba Kujua Free Space Kwenye Hard Disk Yako????????

Karibu
 
Hiyo Ipo Kweny Part 2, Part 1 Hii Tunazungumzia Software Tu
Part 2 Ndio Tutazungumza Hardware Tu, Pitia Uzi Wangu Wa Introdiction Nimetoa Maelezo Ya Tutakavyokuwa Tunajifunza.
Hongera sana. Ila usisahau issue ya kufix tatizo la short kwenye computer
 
Mkuu hivi pc ambayo ipo connected kwenye local area network na iko restricted ku install program yeyote yaani unapo install program inadai administrator password.
Hicho kikwazo nakirukaje?
Mkuu Pole Na Tatizo La PC Yako, Kama Huifahamu Hii Password Bac Tumia Software Inaitwa PC Unlocker, Ita Reset Hiyo Password Bila Shida

So Far Naona Matatizo Ya Password Mengi

Next Session J3 Tutajifunza Admin Password Za Windows Zote.
 
Asante kwa uzi mzuri mkuu,
Pia samahani mkuu, unaweza kuelezea japo kwa kifupi
Hapo kwenye "virtual technology".
 
Back
Top Bottom