TsotsiKwesta
Senior Member
- Jan 12, 2014
- 126
- 256
Halafu dogo hajawahi kutoa nyimbo mbaya, kuna ile collabo alipiga na qchief ya NIPO huwa naikibali sana ile ngoma
Nipo nilikuwepo na nitakuwepo aha aha aha aha, nipo nilikuwepo na nitakuwepooooooooo, amani kwa masela tuliowaacha kitaani eee(peace and love) , amani kwa masela waliotutoka duniani mama weee(rest in peace), kwa mabaya nisengenyeni, kwa mazuri nisifieni eee, hiki kipaji kanipa mungu, majungu yanatoka wapiiii, machizi wangu halla back halla back halla back, masista duu piga kelele, oyee mr blue
Halafu kuna kazi alifanya blu na braza men mmoja sasa hivi yupo ujerumani mwanzo alijiita snoop lee, baadae akajiita snaa lee, sasa hivi anajiita snaa, nyimbo inaitwa mic nadaka, nahisi mpaka sasa hii nyimbo ndio nyimbo yenye chorus ndefu bongo
Ngoja, mic yenyewe moja, ma mc kama laki moja, kila mmoja hataki kungoja, kila mmoja anataka namba moja, ngoja, mic yenyewe moja, ma mc kama laki moja, kila mmoja hataki kungoja, kila mmoja anataka namba moja (microphone nadaka snoop lee, na heshima nazitaka snoop lee, kwa mabraza na madada snoop lee fanya fasta blue shika mic daka,)*blu*(microphone nadaka{B. L. U} na heshma nazitaka {B. L. U} kwa mabraza na madada mikono juu fanya fasta snoop lee shika mic daka
Halafu bado nyimbo zake aisee Sema yupo na Jide mR Blue ni msanii ambae anapaswa kupewa tuzo ya pekee, nyimbo kama unanimaliza, tabasamu and na chorus za micharazo pia.