Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Baada ya kuacha maneno na kuweka @Muziki,Darasa ataachia ngoma yake mpya Leo katika kipindi cha XXL iitwayo Hasara Roho.
Napingana na wewe,,sema hakuna ngoma yake iliyobamba kama mziki ila kama ngoma kali aisee Sikati Tamaa bonge moja ya song mzeeeNna uhakiki hajitoa ngoma Kali kama muziki.katika maishayake yote ya kufanya muziki
Sio rahis sana kwa kwel hata kam itakua kali kuliko muzik lakin inaweza isibambe kama muzikiSijui kama ataifikia peak ya wimbo wa muziki!!!
kweli kabisaNasemaje!! Utanitoa roho ni kali kuliko hii hasara roho