Daraja la msisi mkaa limekatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwa wingi mkoani singida.Kufuatia uharibifu huo magari yote yanapita ndago kazi kwako Magufuli
nipo iramba jimboni kwa bwana chemba, kuna gari nisani nyeusi imezolewa na maji usiku wa alfajiri hii likiwa na watu watatu , raia mmoja wa kichina(kevin)amekutwa amekufa maji huku abiria wa kike ambae anaitwa Marry(mnyiramba) akiwa hajapatikana hadi sasa
Hayo yakiwa yamejiri jimboni kwa bwana chemba,mbunge huyo yupo bsy dar es salaam na asubuhi hii alikuwa star tv akimwaga propaganda na kupika majungu huku jimboni wanataabika
Chanzo mimi mwenyewe
sasa hizi yuko anaangalia mkanda mkanda jinsi mtatiro alivyompeka.amekalia umbea tuu kuhusu cdm.nipo iramba jimboni kwa bwana chemba, kuna gari nisani nyeusi imezolewa na maji usiku wa alfajiri hii likiwa na watu watatu , raia mmoja wa kichina(kevin)amekutwa amekufa maji huku abiria wa kike ambae anaitwa Marry(mnyiramba) akiwa hajapatikana hadi sasa
Hayo yakiwa yamejiri jimboni kwa bwana chemba,mbunge huyo yupo bsy dar es salaam na asubuhi hii alikuwa star tv akimwaga propaganda na kupika majungu huku jimboni wanataabika,shenzi type.
Chanzo mimi mwenyewe
Mkuu wengine tuna safari ya kwenda Singida, hilo Daraja linaunganisha Ndago na wapi? Ni barabara ya kwenda Mwanza au ni za huko huko Singida?
nipo iramba jimboni kwa bwana chemba, kuna gari nisani nyeusi imezolewa na maji usiku wa alfajiri hii likiwa na watu watatu , raia mmoja wa kichina(kevin)amekutwa amekufa maji huku abiria wa kike ambae anaitwa Marry(mnyiramba) akiwa hajapatikana hadi sasa
Hayo yakiwa yamejiri jimboni kwa bwana chemba,mbunge huyo yupo bsy dar es salaam na asubuhi hii alikuwa star tv akimwaga propaganda na kupika majungu huku jimboni wanataabika,shenzi type.
Chanzo mimi mwenyewe
nipo iramba jimboni kwa bwana chemba, kuna gari nisani nyeusi imezolewa na maji usiku wa alfajiri hii likiwa na watu watatu , raia mmoja wa kichina(kevin)amekutwa amekufa maji huku abiria wa kike ambae anaitwa Marry(mnyiramba) akiwa hajapatikana hadi sasa
Hayo yakiwa yamejiri jimboni kwa bwana chemba,mbunge huyo yupo bsy dar es salaam na asubuhi hii alikuwa star tv akimwaga propaganda na kupika majungu huku jimboni wanataabika,shenzi type.
Chanzo mimi mwenyewe
Saa zingine tunatoa tuhuma ambazo sio za kweli.sasa hizi yuko anaangalia mkanda mkanda jinsi mtatiro alivyompeka.amekalia umbea tuu kuhusu cdm.
sasa hizi yuko anaangalia mkanda mkanda jinsi mtatiro alivyompeka.amekalia umbea tuu kuhusu cdm.
Na kwa taarifa sasa hata njia ya ndago kuna msururu mkubwa wa magari nako daraja limekatika kutokana na uzito wa magari DAR ARUSHA MWANZA KWISHINEI HAKUNA MAWASILIANO YA BARABARA NIKO KWENYE MOHAMEDI TRANS NAEMDA DAR
nipo iramba jimboni kwa bwana chemba, kuna gari nisani nyeusi imezolewa na maji usiku wa alfajiri hii likiwa na watu watatu , raia mmoja wa kichina(kevin)amekutwa amekufa maji huku abiria wa kike ambae anaitwa marry(mnyiramba) akiwa hajapatikana hadi sasa
hayo yakiwa yamejiri jimboni kwa bwana chemba,mbunge huyo yupo bsy dar es salaam na asubuhi hii alikuwa star tv akimwaga propaganda na kupika majungu huku jimboni wanataabika,shenzi type.
Chanzo mimi mwenyewe