Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,437
Daraja la msisi mkaa limekatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwa wingi mkoani singida.Kufuatia uharibifu huo magari yote yanapita ndago kazi kwako Magufuli
Asante kwa taarifa hii.
Daraja la msisi mkaa limekatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwa wingi mkoani singida.Kufuatia uharibifu huo magari yote yanapita ndago kazi kwako Magufuli
Na kwa taarifa sasa hata njia ya ndago kuna msururu mkubwa wa magari nako daraja limekatika kutokana na uzito wa magari DAR ARUSHA MWANZA KWISHINEI HAKUNA MAWASILIANO YA BARABARA NIKO KWENYE MOHAMEDI TRANS NAEMDA DAR
ulitaka aote usiku kuwa kuna nissan itakombwa na maji huko jimboni kwake?yeye ni naibu katibu mkuu wa chama chake so alikuwa pale kwa niaba ya chama kilichompa nafasi ya kugombea huo ubunge!!!!sio kila kitu tufanye majungu na fitina jamani!!!!swali ni je amepata taarifa ya kilichotokea?
Limepona
Duu naona unatokwa na mapovu meupe mdomoni ukimtetea huyu kilaza NchembaMkuu inatosha tu kuandika na kutoa facts jamvini, conclusions kila mtu na akili zake.
Sioni kama ni akili sana kusema mvua zimetokea usiku huu na Nchemba yuko Star Tv asubuhi hii na bado kwa mategemeo yako Nchemba huyo huyo awe Msisi asubuhi hii.
Akili ni nywele lakini zako pungufu, nafikiri una kipara.
Duu naona unatokwa na mapovu meupe mdomoni ukimtetea huyu kilaza Nchemba
Muulize prof wa cuf LipumbaKwenu povu ni nini?