Unaongea kama uliye kosa utimamu....what a wasteSGR na madaraja yanayoitwa flyover viliamuliwa kujengwa na mtu huyohuyo mmoja asie fikiri wala asie na hisia, jiwe!
Yalikuwa maamuzi binafsi hivyo utekelezaji unafanyika bila kufuata sana utaalam
Na wewe acha kuingea pumba wakati mwingine.Watu wanaogopa kupiga picha kwa sababu watapigwa marisasi wakionekana wakichukua picha.
Kilicho bomolewa sio daraja ni upande moja wa cable stayed bridge sababu ya muingiliano pale kamata ikumbukwe kuna flyover inatakiwa kujengwa, kuna meter gauge inapita chini pia SGR viaduct so ikaleta shida jinsi ya kujenga flyover, wakati unapiga domo ujue viaduct ilianza kujengwa kabla ya design ya flyover.Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa kuna sehemu la daraja la SGR hapo Dar limebomolewa. Hii ni kwa sababu ya planning mbaya ya serikali ya Tanzania. Mnajenga miradi ovyo ovyo bila kukaa chini na kufanya planning. Sasa daraja la reli linabomolewa kwa sababu linakinga flyover. Hili daraja lililobomolewa litachukua zaidi ya mwaka moja kulijenga tena. Mradi huu ulikuwa ukamilike mwaka uliopita lakini sasa sioni ukikamilika hadi Yesu arudi. Yaani kilomita 200 ya reli imewashinda kabisa kujenga na bado mnataka kushindana na Wakenya? Mbona msimalize ujenzi wa kilomita hizi chache kabla hamjakuja huku kulinganisha ukubwa wa korodani na majirani wenu?
Watu walio Dar wekeni picha.
Na wewe kukiri kosa lipi wakati design ya flyover ilichelewa, mnavichuki vya kishamba snaa.Daraja la Nkuramah kama sijakosea ndio limebomolewa upande mmoja wa support,kukamilika ni ngumu sana Seth na Rugememarira wamekataa kukiri kosa hivyo pesa ya kumalizia hakuna sehem nyingine ya kutoa, ikimbukwe fedha kutoka kwa wafanyabisahara zimechukuliwa zote mradi haukuisha, fedha kutoka Bureau zote zilichukuliwa mradi haujaisha kwa sasa tunasubiri pesa kutoka Mbinguni
Na ww kukiri kosa lipi wakati design ya flyover ilichelewa...mnavichuki vya kishamba snaa
Kwani cable stayed bridge sio daraja? Ni ugali?Kilicho bomolewa sio daraja ni upande moja wa cable stayed bridge sababu ya muingiliano pale kamata ikumbukwe kuna flyover inatakiwa kujengwa , kuna meter gauge inapita chini pia SGR viaduct so ikaleta shida jinsi ya kujenga flyover , wakati unapiga domo ujue viaduct ilianza kujengwa kabla ya design ya flyover
Hivi wewe unajua kilicho bomolewa kwanza ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unazungusha mdomo na hata huelewi kituUchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa kuna sehemu la daraja la SGR hapo Dar limebomolewa. Hii ni kwa sababu ya planning mbaya ya serikali ya Tanzania. Mnajenga miradi ovyo ovyo bila kukaa chini na kufanya planning. Sasa daraja la reli linabomolewa kwa sababu linakinga flyover. Hili daraja lililobomolewa litachukua zaidi ya mwaka moja kulijenga tena. Mradi huu ulikuwa ukamilike mwaka uliopita lakini sasa sioni ukikamilika hadi Yesu arudi. Yaani kilomita 200 ya reli imewashinda kabisa kujenga na bado mnataka kushindana na Wakenya? Mbona msimalize ujenzi wa kilomita hizi chache kabla hamjakuja huku kulinganisha ukubwa wa korodani na majirani wenu?
Watu walio Dar wekeni picha.
Unakuja kulialia nini kitu kiko wazi tumia akili ya kuvukia barabara tu. Sio unaleta vichuki vya kijinga jinga.Naona umekua msemaji wa serikali, kwa hiyo mlijenga bila design?