R r.zube Member Joined Apr 8, 2014 Posts 14 Reaction score 1 Apr 12, 2014 #61 gari la serikali alina shidaaaaaaaaaaa
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,929 Reaction score 2,567 Apr 12, 2014 #62 Zamaulid said: afadhari hilo gari ni STK Click to expand... ...umesema alikuwepo mwigulu savimbi...?au sijakuelewa vizuri teh teh....
Zamaulid said: afadhari hilo gari ni STK Click to expand... ...umesema alikuwepo mwigulu savimbi...?au sijakuelewa vizuri teh teh....
Kisali.TechnitianJr. JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 592 Reaction score 183 Apr 12, 2014 #63 Kisima said: Nimefurahi sana kuliona STK linakuwa la kwanza kuionja adha ya ujenzi wa miundombinu chini ya kiwango! Click to expand... Uko sahihi kuwaza hivyo. Ila kaa ukijua kodi yako itanunua stk nyingine mpya na ya kisasa zaidi ya hiyo. Tafakari, chukua hatua!
Kisima said: Nimefurahi sana kuliona STK linakuwa la kwanza kuionja adha ya ujenzi wa miundombinu chini ya kiwango! Click to expand... Uko sahihi kuwaza hivyo. Ila kaa ukijua kodi yako itanunua stk nyingine mpya na ya kisasa zaidi ya hiyo. Tafakari, chukua hatua!
ngoogle JF-Expert Member Joined Dec 5, 2012 Posts 209 Reaction score 56 Apr 13, 2014 #64 Habar wanajamvi, kama unatumia barbara ya mbagala - kongowe pale mzinga darajani hakuna njia kutokana na daraja hilo kuvunjika NAWASILISHA
Habar wanajamvi, kama unatumia barbara ya mbagala - kongowe pale mzinga darajani hakuna njia kutokana na daraja hilo kuvunjika NAWASILISHA
Mshobaa JF-Expert Member Joined Apr 7, 2013 Posts 1,716 Reaction score 680 Apr 13, 2014 #65 Thanks for update
Mama Mdogo JF-Expert Member Joined Nov 21, 2007 Posts 2,975 Reaction score 2,170 Apr 13, 2014 #66 Leta basi picha kama wenzako walivyoleta jana kuhusu daraja la Bagamoyo au leo lile la Ruvu.
babo Senior Member Joined Apr 9, 2014 Posts 194 Reaction score 23 Apr 13, 2014 #67 serikali na wananch washirikiane kutatua hilo swala ili kunusur ajari
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Apr 13, 2014 #68 Hivi huko Dar mvua hazikata tu...!!
ngoogle JF-Expert Member Joined Dec 5, 2012 Posts 209 Reaction score 56 Apr 13, 2014 #69 Bado zinaendelea mpaka hivi ss
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Apr 13, 2014 #70 Hivi hazina pakoje kwa sasa? Kitengo cha maafa? Maana tutaanza kampeni za kuomba misaada wa wafanyabiashara na baadae wakwepe kodi na tuwaonee aibu
Hivi hazina pakoje kwa sasa? Kitengo cha maafa? Maana tutaanza kampeni za kuomba misaada wa wafanyabiashara na baadae wakwepe kodi na tuwaonee aibu
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,929 Reaction score 2,567 Apr 13, 2014 #71 ...nilisikia ni lile la njia ya kigamboni,tujuze vyema mkuu maana wengine yanatuchanganya hili la mbagala mwisho kabla ya kituo cha mzinga....
...nilisikia ni lile la njia ya kigamboni,tujuze vyema mkuu maana wengine yanatuchanganya hili la mbagala mwisho kabla ya kituo cha mzinga....
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,394 Apr 13, 2014 #72 Mama Mdogo said: Wabunge 620 wa bunge la katiba X siku 90 X shs 300,000 kwa siku ni sawa na tshs billioni 16.8. Hizi ni sawa na barabara ya lami ya km ngapi? Click to expand... Mamdogo nafikiri kwa hesabu za kifisadi hatupati hata 50
Mama Mdogo said: Wabunge 620 wa bunge la katiba X siku 90 X shs 300,000 kwa siku ni sawa na tshs billioni 16.8. Hizi ni sawa na barabara ya lami ya km ngapi? Click to expand... Mamdogo nafikiri kwa hesabu za kifisadi hatupati hata 50
MANI Platinum Member Joined Feb 22, 2010 Posts 7,318 Reaction score 6,394 Apr 13, 2014 #73 Katavi said: Hivi huko Dar mvua hazikata tu...!! Click to expand... Inategemewa mpaka alhamisi
dawa yenu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 2,829 Reaction score 3,733 Apr 13, 2014 #74 Gefu said: ...nilisikia ni lile la njia ya kigamboni,tujuze vyema mkuu maana wengine yanatuchanganya hili la mbagala mwisho kabla ya kituo cha mzinga.... Click to expand... Ukitokea mbagala kwenda kongowe kna daraja la mzinga lile limebomoka ingawa sio lote ila magari hayapiti. Pia ukitoka kongowe kwenda kigamboni kuna daraja pale limebomoka lote. Watu wa kongowe hawana mawasiliano pande zote mbili.
Gefu said: ...nilisikia ni lile la njia ya kigamboni,tujuze vyema mkuu maana wengine yanatuchanganya hili la mbagala mwisho kabla ya kituo cha mzinga.... Click to expand... Ukitokea mbagala kwenda kongowe kna daraja la mzinga lile limebomoka ingawa sio lote ila magari hayapiti. Pia ukitoka kongowe kwenda kigamboni kuna daraja pale limebomoka lote. Watu wa kongowe hawana mawasiliano pande zote mbili.
Kijana leo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 2,860 Reaction score 812 Apr 13, 2014 #75 tatizo tumekuwa watu wa kujishughulisha na matatizo, badala ya kuzuia yasitokee ayo matatizo. kitengo cha maafa sijui kinazuia nini.
tatizo tumekuwa watu wa kujishughulisha na matatizo, badala ya kuzuia yasitokee ayo matatizo. kitengo cha maafa sijui kinazuia nini.
real toxic JF-Expert Member Joined Apr 13, 2014 Posts 533 Reaction score 104 Apr 13, 2014 #76 Chupi la chumaaa
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Apr 14, 2014 #77 MANI said: Inategemewa mpaka alhamisi Click to expand... Basi ni balaa