Mtaani kwetu ipo nguzo ya umeme inayo connect
njia tano nayo ni mbovu tokea chini mpaka juu
inaweza kun'goka au kukatika wakati wowote.
Tumeripoti Tanesco wala hawajali,hupita hapa
na lori lilojaa nguzo kama hizi wakiwapelelea
wenye majina.Jamani mvua hizi tutapona?