Daraja la Kinyerezi labomoka

Hii nchi kila mtu anajifanyia atakachoamua mwenyewe,..

Sasa hii hasara sijui nani atailipa kama siyo mlipa kodi kutokana na uzwmbe na maslahi ya wachache.

Na huyo dereva kapita chuo gani cha Udereva? NIT wanatoa product za aina hii kweli?
 
Udhibiti wa malori ya mizigo unafanywa kisiasa sana, MWENYE LORI ALIPE DARAJA maana ana BIMA
 

pooleni
 
Watu wanaotokea tabata kuja majumba na banana inabidi wachepuke mpaka pale kwenye uchumi supermarket atafute Barabara ya stakishari

Gari yenyewe
 

Attachments

  • 1403199775666.jpg
    70.5 KB · Views: 287
Haya sasa PM Mizengo Kayanza Peter Pinda ajitokeze auambie umma wa walipakodi haya ndiyo aliyokuwa anayataka? Je ananufaika nini raia wake wanapopatwa na adha ya kushindwa kuvuka? Je anaona kuna haja ya kuendelea kubishana na wanasayansi wanapomwambia ukweli na uhalisia wa mambo? Au ataelekeza lawama kwa wale aliosema wasulubiwe?
 

Dr Magufuli akikomaa nao wanasiasa wanamwona kituko,sasa karibia watu laki 6 wanakosa huduma kwa ajili ya tajiri mmoja aliyetaka kulazimisha kontena lake lipite huku likiwa na uzito mkubwa.

Nini kifanyike kwa sasa,tumwache Dr Magufuli afanye kazi yake,tuheshimu sheria ,taratibu na kanuni ndani ta tanroad,hii itasaidia kuzipa uhai barabara zetu na matumizi yake yatakuwa ni kwa faida ya wengi.
 
Hii nchi kila mtu anajifanyia atakachoamua mwenyewe,..

Sasa hii hasara sijui nani atailipa kama siyo mlipa kodi kutokana na uzwmbe na maslahi ya wachache.

Na huyo dereva kapita chuo gani cha Udereva? NIT wanatoa product za aina hii kweli?

Hahahahahahaa,mkuu hii hasara ni yetu sote,huyo tajiri hata lipa,tujiandae tu kulitengeneza hilo daraja kwa kodi zetu,kwani tayari ruhusa ilisha tolewa kwa magari yenye uzito mkubwa kupita popote yatakayo.
 

PM haku calculate RISK ya kauli yake, suala la malori angelihacha kwa waziri husika, amemwathiri waziri kwa kiasi furani kuhusu haya malori, matokeo yake malori yamekosa udhibiti yanapita kila njia bila kujari uzito wa madaraja
 


Baba yangu angekuwa ni mtu wa kushinda shambani ningeachia ngazi mara moja
 
naona inabidi wanipe tenda nikawafungie system ambayo itafanya hadi polisi waogope kuruhusu hawa jamaa kuvuka... mtu akiruhusu tu anakabwa fasta...
 
Magufuli akikomaa na sheria wengine wanamkatisha tamaa kwa kula bata na wenye nchi
 
dereva kama aliona vbao vinavyoenyesha uzito unaoruhusiwa akapita kibange bange ajenge hlo daraja,kama akukuwa na alama yoyote wamlpe yeye
 
Hii nchi kila mtu anajifanyia atakachoamua mwenyewe,..

Sasa hii hasara sijui nani atailipa kama siyo mlipa kodi kutokana na uzwmbe na maslahi ya wachache.

Na huyo dereva kapita chuo gani cha Udereva? NIT wanatoa product za aina hii kweli?
hapo hiyo ni hasar ya mwenye hiyo kampuni ya gari mkuu na lazima ailipe serikali.
 
Poleni wakazi wa maeneo hayo
 
Mkuu polisi hiwezi kuwa kila mahali hata pale walipo watu wajinga kama huyu dereva.
Cha maana hapo ni kutaifisha hilo gari na mwenye gari alipe fidia matengenezo ya daraja hilo.

Kuna ujinga mkubwa kwa madereva jijini Dar, madrreva huwa hawatumii akili kabisa, na hapo polisi lazima wavuliwe lawama.
Hapa mwenye gari afidie daraja na gari litaifishwe, dereva afungwe- ndio jawabu.
 
Dereva atakuwa na akili ya pig. Utapitaje daraja lile na mzigo.mkubwa? ila pia sijajua kama mamlaka husika ziliweka kibao pale kutahadharisha kuhusu magari ya tani kubwa.
 
Faida ya kuingiza siasa kwenye mambo ya kitaalamu. Mizengwe Punda lazima awajibike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…