Daraja la kigamboni

Daraja la kigamboni

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,951
Ujenzi unaendela

IMG_3432.JPG

IMG_3441.JPG

IMG_3464.JPG

f5.jpg

tanzania-construction-site---afp_zps3b1891ea.jpg
 
mkuu hilo sio daraja serikali inalolijenga bali ni daraja la wachina ambalo litawasaidia kupitisha vifaa kwenda ng'ambo ya pili pindi watakapoanza kujenga. mia
 
Mbona kama limechukua mda mfupi zaidi au hilo ni la kupitishia vifaa wakati wanajenga daraja lenyewe??
 
Updates Jana jioni, picha na Msela wangu sitekutoka kwa mchina shavu dodo
 
Jamani mmeona hiyo translation hapo kwenye bango?

Safety helmets must be worn when entering construction site = Helmeti usalama lazima zivaliwe wakati kuingia ujenzi wa tovuti

Hahahahahahahha

Kiasi hao Maimuna wenzangu hapo wasivae helmeti maana hawajaelewa kilichomaanishwa

Tovuti? Tovuti gani?

Wao hawapo kwenye tovuti hapo
 
Haha, sasa mkuu site /website si tovuti? Mbavu zangu
 
Aibu ni kuwa kati ya Watanzania wanaofanyakazi eneo hilo hakuna aliyeona umuhimu wa kurekebisha hilo bango

Ni kama limebanduliwa "Google translation" tu vile

Kwa watu wanaoangalia mambo kwa mapana yake, hata hiyo picha ya "Mchina" isingetakiwa kuwepo hapo

Aibu
 
Jamani mmeona hiyo translation hapo kwenye bango?

Hahahahahahahha

Kiasi hao Maimuna wenzangu hapo wasivae helmeti maana hawajaelewa kilichomaanishwa

Tovuti? Tovuti gani?

Wao hawapo kwenye tovuti hapo

KIlichonishangaza kwanini helmet? mara nyingi helmet huvaliwa ikiwa kuna ujenzi wa maghorofa lakini ikiwa kunajengwa daraja unahitaji vifaa zaidi vya usalama kama viatu vya usalama kujiepusha na vyuma, vizibo vya masikioni kuzuia kelele,miwani ikiwa kuna chembechembe za vyuma vinavyokatwa nk.
 
Angalia picha kwa mfano katika post namba 7. Kuna makreni yanayobeba vitu na vinapitishwa vikiwa juu. Kuna uwezekano wa kinachohamishwa kudondoka. Huo ni mfano tu wa kuonyesha umuhimu wa Helmet.
 
Standard procedures za ujenzi zinahitaji uvaaji wa helmet hata kama kunajengwa barabara kwa sababu kuna matumizi ya vifaa kama cranes na winchi zinazoweza kukuangushia kitu

Aidha ukianguka wewe ukagonga mguu wako na chuma si sawa na ukianguka ukagonga kichwa chako na chuma

Kwa hiyo kusema uvae helmet inaingia maanani, japo na hivyo vyengine vinahitajika
 
Angalia picha kwa mfano katika post namba 7. Kuna makreni yanayobeba vitu na vinapitishwa vikiwa juu. Kuna uwezekano wa kinachohamishwa kudondoka. Huo ni mfano tu wa kuonyesha umuhimu wa Helmet.
huyo leipzig atakuwa chadema,maana hakuna jema walionalo ndani ya serikali.
 
nauliza tu
nondo za kujengea hazijatoka katika viwanda vilivofungiwa na TBS?
kama zimetoka china zitakuwa feki zaidi pia.
nina mashaka na ubora wa hilo daraja.
Muhandisi wa Wilaya ya Temeke naye ajiandae kuingia mahabusu kabisa.
 
mkuu hilo sio daraja serikali inalolijenga bali ni daraja la wachina ambalo litawasaidia kupitisha vifaa kwenda ng'ambo ya pili pindi watakapoanza kujenga. mia
Ukiuliza ni shilingi ngapi zimetumika kujenga hilo la muda unaweza kupatwa na kiharusi cha ghafla.
 
Back
Top Bottom