Daraja la Japan

Daraja la Japan

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
Daraja la Eshima Ohashi linaunga mji wa Matsui (mkoa wa Shimane) na mji wa Sakaiminato (mkoa wa Tottori).

Unaitwa "rollercoaster bridge" kwa sababu umepanda juu sana kuruhusu meli kupita chini. Una urefu wa 1.7km.

ImageUploadedByJamiiForums1436677555.319265.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1436677604.318650.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1436677670.550319.jpg
 
Zuri. Natumai Kigamboni litaku
wa kama hivyo?
 
Kigamboni meli zinapitaje kwa chini?

Sihawahi kuona picha yake kwa muonekano huo
 
Nahisi ukipita unafeel kama kilima nanihii..........me like it........
 
last kigamboni pale linapojengwa hapapiti meli. lingejengwa pale feri ndo ingebidi liinuke kupisha meli
 
Ngoja tumsikilizie Magufuri labda tutakuwa nayo kama hayo
 
Na magari yetu yaliyokatika centre bolt, ungeshuhudia ajali hapo kila siku.
 
Back
Top Bottom