Dar young Africans: Jangwani complex

Dar young Africans: Jangwani complex

Dar Tambarare chini ya uongozi wa DHAIFU.
 
acheni ulofa nyie, hii picha hamuoni kabsaa ni ya zamani, alafu mtu anajitahidi kusema kabsaa hiyo ni aerial view ya mchana, hiyo barabara ya pembeni ya jangwani, si ni lami sasa hivi? mbona haioneshi hivyo hiyo picha?

Umepatia agiza kiroba cha moto bili yako
 
Dar Tambarare chini ya uongozi wa DHAIFU.

Kuna siku uvumilivu na subra za wananchi vitaisha halafu yatakayofuatia yatakuwa historia ya kukumbukwa vizazi na vizazi
 
Manji taperi Sana!,aliahidi kujenga uwanja wa kisasa eneo hili...

Wajinga ndio waliwao; hawa wahindi wametumia ufukara wenu kujitajirisha na nyie bado mnawapigia makofi!!! Huyu Manji si aliunda kamati ya kujenga kiwanja na kufanya renovation ya hilo jumba; mwenyekiti wake aliteuliwa kuwa mtoto wa mfalme [ Ridhwani Kikwete], hii kamati imefia wapi au ndio alitaka kumtumia huyo jamaa kwa dili zake?
 
hii picha hamuoni kabsaa ni ya zamani,... hiyo barabara ya pembeni ya jangwani, si ni lami sasa hivi? mbona haioneshi hivyo hiyo picha?
Barabara ya lami haionekani kwa kuwa imefunikwa na maji! :biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Wajinga ndio waliwao; hawa wahindi wametumia ufukara wenu kujitajirisha na nyie bado mnawapigia makofi!!! Huyu Manji si aliunda kamati ya kujenga kiwanja na kufanya renovation ya hilo jumba; mwenyekiti wake aliteuliwa kuwa mtoto wa mfalme [ Ridhwani Kikwete], hii kamati imefia wapi au ndio alitaka kumtumia huyo jamaa kwa dili zake?

Watoto wa mama hawa acha wapelekwepelekwe! Pesa sio kila kitu duniani
 
Back
Top Bottom