lara 1 umenifurahisha walah nimecheka at least kibaridi kimepungua! ni PM nikukopeshe masharti na vigezo kuzingatiwa lakini
haya tumekuskia mkuu, tunakusubiri kwa hamau kubwa.
heri ya mwaka mpya.
Hii ya Party ya Tichaa inakuwa CLASSY ngoja huko mbeleni tutaandaa ya ki BELASCONY!!!!!!!!! Ni Over 18 tu na under 40 ndo wanarhususiwa!!!!!!! Ila for now tumaintain the standards za tichaaa! Mambo classic tu baaaaaaaaass!
haya mm nakusubiria kwenye kupangilia hii shughuli so far kuna added task ambazo nitamwelekeza snowhite akuambie ili uziandae kabisaaaaaaaaaaa! hope mc wetu atakuwa wewe sio??
Tichaaa mi nimekubaliana na wewe sema hapo nilikuwa namchangamsha Madam B kidogo asubuhi hiii!!!!!!Ofcourse sisi watu wazima hatuwezi fanya party ya vijana!!!!!!! Hapo tu nilikuwa nakumbukia the DARK DAYS!!!!!!! We endelea na mipango niachie Madam B nimchangmshechangamshe!!!!!!
thijui bwana
mweeeeeeh! huko sasa utaharibu lol!hahahaaaaaaa........ lol!!!!
Ila kweli Bhana tusije hata kushindwa kuangaliana usoni bure. lara 1 na gfsonwin ila itabidi tutafute sehemu iliyochangamka halafu iwe ni sehemu ambayo kila mtu ataweza kufika kwa urahisi,
May be Tandale Kwa Mtogole, Manzese Uwanja wa Fisi au Tandale Mpakani Kwa Mfuga mbwa............lolest!!!!!!!!!
na hapa nitakuwa siriaz kweli kimale, hakuna mambo ya akina BEYONCE hapa. lazima kila kitu kiwe kizuri cha kupendeza lol! ila mbon asion watu wakipropose juu ya hio tarehe ama wote wako poa nayo??
Aliekwambia kutakuwa na KUJITAMBULISHA NANI??????????? Watu tunakutana tuna party na ID zinabaki siri vile vile!!!!!!! Hakuna utambulisho wa wewe nani au umetokea wapi!
Utayemuona kafanana na ID flani we mvagae tu!!!!!
gfsonwin mbona mie umenisahau? Mie sitakula wala kunywa shida yangu nikuone tu!hahahhah Smile acha utan kwa dada bana kuwa siriaz basi?? halafu naomba radhi kwa kumsahau figganigga mdogo wangu wa ukweli na Nicas Mtei(ila huyu sijui kaama wing) ngoja tuone.
We nilipie tu ill be your company!!!!! All night (during the party tu usije kwenda mbali) LOLEST!!!!!!!!
Napenda kuja kama nitakuwepo. Na napenda kuwakaribisha Wadada kati ya 5 na 10 ambao watathibitisha kuja na nitawatolea. Wadada wakiwa wengi Wakaka watakuja tu.
Kazi mojawapo nitakayofanya ni kuhamasisha michango JF ili tusiishie kula na kunywa tu maana JF pia inahitaji msaada wenu na pesa mnazo.
Kama vipi mmechukia basi mi siji tena!
nitafurah mwanagu sasa nina ombi kwako mwanangu hebu angalia hayo mawazo yangaua kisha wewe useme nini kiboreshwe ama kiondolewe??
Aliekwambia kutakuwa na KUJITAMBULISHA NANI??????????? Watu tunakutana tuna party na ID zinabaki siri vile vile!!!!!!! Hakuna utambulisho wa wewe nani au umetokea wapi!
Utayemuona kafanana na ID flani we mvagae tu!!!!!