Dar, Wenyeviti serikali za mitaa CUF Wamuunga mkono Lipumba

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,697
Reaction score
6,825
Wenyeviti 50 wa Serikali za Mitaa wa CUF Mkoa wa Dar es Salaam wametangaza kuunga mkono uamuzi wa Baraza Kuu la Uongozi la CUF la upande wa Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba kuwa vua uanachama wabunge wanne wa viti maalumu na madiwani wawili.

Wabunge waliovuliwa uanachama ni Halima Ali Mohamed, Khadija Salum Ally, Salma Mohamed Mwasa, Miza Bakari Haji, Raisa Abdallah Mussa, Riziki Shahari Mngwali, Saumu Heri Sakala na Severina Mwijage.

Wakiwakilisha wenzao 36 wenyeviti 14 kutoka mitaa mbalimbali ya halmashauri za manispaa tano za Dar es Salaam wamesema wamefikia hatua hiyo baada ya kuridhisha na kazi nzuri inayofanywa na Profesa Lipumba.

Akizungumza kwa niaba ya wenzake 14 mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Keko Mwanga B, Shilingi Shilingi amewaambia wanahabari leo Jumanne Agosti 8 wanaunga mkono uamuzi wote wa Baraza Kuu la Uongozi kwa kuwa wabunge hao wamebainika kukihujumu chama hicho.

"Tunamtambua Maalim Seif Sharif Hamad kama katibu mkuu lakini kwa sasa nafasi yake inakaimiwa na Magadalena Sakaya kutoka na yeye kushindwa kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Katiba ya CUF," amesema Shilingi
Mbali na hilo Shilingi amewataka watu wanaoingilia mgogoro wa chama hicho kuacha mara moja na kwamba mgogoro ni wa kikatiba na suala hilo lipo mahakamani muda si uamuzi utatolewa.

Source mwananchi

"mwanaume mashine"
 
Habari inasema 50,halafu kumbe ni 14 tuu,ama kweli ccm ina pesa za kuchezea
 
CUF ya Seif ikishinda kesi hawa wenyeviti wote ni wa kufukuza.

Hivi bila nguvu ya UKAWA wanadhani wangeshinda hizo nafasi na wajiulize Lipumba aliwasaidia nini wakati wa uchaguzi zaidi ya kusaliti chama/UKAWA.

Huenda nao wamepewa chochote kama wale madiwani wanaoasi.
 
Hawajitambui
 
Mbali na hilo Shilingi amewataka watu wanaoingilia mgogoro wa chama hicho kuacha mara moja na kwamba mgogoro ni wa

Chanzo: Mwananchi
 
CUF ya Seif ikishinda kesi hawa wenyeviti wote ni wa kufukuza.

Hivi bila nguvu ya UKAWA wanadhani wangeshinda hizo nafasi na wajiulize Lipumba aliwasaidia nini wakati wa uchaguzi zaidi ya kusaliti chama/UKAWA.

Huenda nao wamepewa chochote kama wale madiwani wanaoasi.
Mkuu acha upotoshaji.wenyeviti tuliwachagua 2014.,kipindi hicho Lowasa hajaja.Kwa wenyeviti Lipumba alisaidia sana..chanzo cha matatizo ni Maalimu Seif mwenyewe.kwa nini hakuisaini ile barua ya Lipumba ya kujiuzuru hadi Lipumba akatengua?
 
Maalim hajielewi, anawakumbatia Cdm kwa kuwaona watu wa maana kumbe hajuwi kwamba lengo la Cdm ni kuisambalatisha Cuf then wamshawishi Maalim ajiunge na Cdm. Hawa wenyeviti wamelitambua hilo, nawapa hongera sana.
 
Chanzo cha mgogoro huu wa CUF ni nani?kulikua na haja ya lipumba kujiuzulu karibu kabisa na uchaguzi???jee kipindi yeye mkiti kulikuwa na wabunge madiwani wengi kama ilivyo baada ya kuwa na UKAWA?kuna tatizo gani kama Lipumba angerejea Kwa kufuata taratibu za uchaguzi ndani ya chama kama ilivyo rais Putin ktk urais???
 
Propesa Bado anawaenyesha Tuu.. Acha Wafu wazike Wafu wao..
 
Mkuu acha upotoshaji.wenyeviti tuliwachagua 2014.,kipindi hicho Lowasa hajaja.Kwa wenyeviti Lipumba alisaidia sana..chanzo cha matatizo ni Maalimu Seif mwenyewe.kwa nini hakuisaini ile barua ya Lipumba ya kujiuzuru hadi Lipumba akatengua?
Ndugu zangu mimi sijui hata ni kwa nini tunashabikia haya mavyama ya upinzani ya kijinga jinga tu; tusithubutu hata kidogo kukabidhi uongozi wa nchi kwa mivyama michanga tena ya ovyo ovyo namna hii tutapata shida sana. Nchi lazima iendelee kuongozwa na chama imara kilichokwisha komaa kwenye nyanja zote; hii hali ya vyama vya upinzani kuonekana kama vina nguvu hasa hasa maeneo ya mijini ni ile hali ya kibinadamu tu kwamba inafika mahali watu wanataka kuona utendaji mpya tofauti na waliouzea na kwakweli hilo ni sawa tu kama kungekuwepo na chama kingine mbadala kilichokomaa kushika uongozi wa nchi lakini hakuna. Tukijafanya makosa na kukabidhi uongozi wa nchi kwa mijivyama hii ya viongozi wenye njaa tutauzwa kirahisi na tutajutia.
 
Back
Top Bottom