King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,837
- 69,023
Ule ugonjwa ata usipoutibu unapona wenyewe ni kunawa uso tu na soap
Walitakiwa wanywe na si kuweka jichoni directsi ndo hapo sasa, mm nashangaa Mpaka vingozi wa afya wanatia attention kubwaa ya kuogoflaaa, Mwili wenye afya hauwez kukaa na red eye disease zaidi ya week mbili,
Tafuna carrot, matango, maji kwa wingi ebupa vitu ya sukari nyingi basi, sasa watu wanaweka limao kwenye macho😲!!? Unaongeza acidity level kwenye jicho kwann usipofukee
Jielimishe wewe mshamba.Huna akili hata kidogo, kwa hiyo tufungashe mikojo ya punda kama dawa ya kutibu wagonjwa huko mahospitalini?
Msamehe alikuwa mdogo hakujua nini kinaendelea, kuna dawa ya kikohozi ilikuwa na rangi kama chai ya rangi, dawa hiyo unapewa hosipitali kwenye kichupa watu wakaipa jina la utani la mkojo wa punda. Ukiugua tetekuwanga ilikuwa unapewa dawa nyeupe ya maji ya kupaka, siyo ya kunywa.Huna akili hata kidogo, kwa hiyo tufungashe mikojo ya punda kama dawa ya kutibu wagonjwa huko mahospitalini?
Tatizo lako unachanganya na udini.Jielimishe wewe mshamba.
Huko mahospitalini mnadungwa mpaka vinyesi vya nguruwe na hamlalamiki.
Ukimuona dokta unabinua tako anakudunga sindano lenye sumu bila mbambamba.
Wewe una mashambaboi wawili unapanda bodaboda! Hii itakuwa chai ya saa kumi.Mimi sijawahi kuupata ingawa watu wangu wa karibu yangu wamepata ,wife alipata ,watoto walipata ,jamaa ambaye napiga naye mishe alipata ,dereva wa boda kama watatu hivi wananibeba ila mimi sijapata,majamaa wanaonifanyia kazi shamba boys wawili wamepata ila mimi sijapata.
Unatokea pori gani?Wewe una mashambaboi wawili unapanda bodaboda! Hii itakuwa chai ya saa kumi.
kitu kikali hiviKuna mjinga mmoja alikuwa anatumia limao kutibu macho, yaani watanzania wengi Akili zao ni ndogo Sana
Alafu ni watu wengi Sana wametumia dawa za kienyeji kutibu macho ingawa wengi walipona ila ni hatari sana ni kama kipindi kile cha Corona
Nimekupata 😊Soma nilivyomalizia, dawa nyingi ni hatari endapo utatumia bila ushauri wa dakitari.
Ooooh..!! 😊Mwili unkua umeshatengeneza kinga za ku deal na hao bacteria
Ni kawaida yetu wa Waafrika, ikitokea tukaambiwa kuhusu dawa ambayo inapatikana bure, basi wala hatuwazi mara mbili. Inasikitisha sana.Sasa kwanini hawajaweka wazi hizo namna za kienyeji zilizotumika kujitibu zilizopelekea upofu ili watu wachukue tahadhari wakati mwingine?
B... ungenikuta kipofu huku. Mdakuzi
Bongo uelewa wa watu wengi bado ni mdogo sana,Walitakiwa wanywe na si kuweka jichoni direct
Wewe una mashambaboi wawili unapanda bodaboda! Hii itakuwa chai ya saa kumi.
Ni kawaida ila kwa red eyes ilikua too much.
Tatizo lilikua mtu kapata red eyes leo, kesho anataka apone.Dawa ya uhakika ni moja tu! Kunawa uso kwa sabuni kila baada ya masaa kadhaa ili kuhakikisha huambukizi wengine na mwili unajitibu wenyewe baada ya siku 7 hadi 10.
Yaani nilitumiwa clip kabisa, jamaa anajieleza mwenyewe alichofanya. Mie mwenyewe nilishangaa kama wewe hivo...inatia hurumaUnatania madam, mafuta ya taa?!!