Dar: Watoto wawili wakutwa wameuawa kikatili

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Watoto wawili wa familia ya askari wanamaji waliopotea mwezi Octoba mwaka jana wameuawa kwa kufanyiwa ukatili na watu wasiojulikana kisha kuweka mabaki ya mafuvu yao katika mfuko pamoja na nguo walizovaa siku ya tukio na kutupa mafuvu hayo pembezoni mwa barabara za Mbozi eneo la Keko viwandani jijini Dar es Salaam.

Watoto wawili wa familia ya askari wana maji waliopotea mwezi Octoba mwaka jana wameuawa kwa kufanyiwa ukatili nawatu wasiojulikana kisha kuweka mabaki ya mafuvu yao katika mfuko pamoja na nguo walizovaa siku ya tukio na kutupa mafuvu hayo pembezoni mwa barabara za Mbozi eneo la Keko viwandani jijini Dar es Salaam.

Watoto wawili wa familia ya askari wanamaji waliopotea mwezi Octoba mwaka jana wameuawa kwa kufanyiwa ukatili na watu wasiojulikana kisha kuweka mabaki ya mafuvu yao katika mfuko pamoja na nguo walizovaa siku ya tukio na kutupa mafuvu hayo pembezoni mwa barabara za Mbozi eneo la Keko viwandani jijini Dar es Salaam.

Imenisikitisha sana hii habari, watoto wamekosa nini jamani.Mungu awapumzishe kwa amani.
 
Daaa so sad..ndio yale matangazo tunsonaga itv watt wamepotea ....sijui km wanapatikanaga au ndio km hivi..rest in peace little angels
 
Inauma sana kwa kweli.. Hiv kwann mauaji ya kikatili yameshamiri sana jaman toka huu Mwaka uanze hizo habar zinazid kukua. Tunaomba vyombo vya dola kuliangalia hill kwa makin.
Wapumzike kwa Aman mwanga wa milele uwangazie wapumzike kwa aman. Amina
 
Back
Top Bottom