figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,662
- 59,100
Salaam,
Wananchama na Viongozi wa Chadema wanaowasili katika Mahakama Kuu Masijala ndogo ya Dar es salaam, kufuatia maombi namba 28922/2025 ya Tundu Lissu akiomba kuunganishwa kwenye kesi ya msingi iliyofunguliwa na said issa Mohamed dhidi ya Bidi ya wadhamini wa Chama pamoja na Katibu Mkuu wa Chama, wamezuiwa na Jeshi la Polisi kuingia mahakamani.
Polisi wanadai kwamba wanaoruhusiwa kuingia mahakamani ni wanahusika na shauri hilo ambao Katibu Mkuu John Mnyika, Bodi ya Wadhamani ya Chama na Tundu Lissu tu.
Soma Hatma ya kesi mgawanyo wa mali CHADEMA ni leo Machi 6, 2026