DAR: Wamachinga kukiona, msako wa vitambulisho kuanza rasmi. RC Makonda atangaza

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,672
218,176
Mkuu wa Mkoa wa Dar ea Salaam akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuanza k.jpg


Hii ni taarifa rasmi ya RC wa DSM ndugu Makonda alipokuwa akiongea na waandishi wa habari .
 
Hongera RC Dsm na polisi kwa tangazo lenu la kuanza msako wa waliokataa kununua vitambulisho vya 20,000 AMBAVYO KISHERIA VINATAMBULIKA.

Haijalishi ni muosha magari,bar maid,mlima mchicha,muuz amagazeti,muandishi wa habari,kondakta au dereva walipe wote.

Kuendesha Serikali si gharama ndogo,kwa mfano kugharamia mafuta na service ya magari ya kisasa anayotumia Rc wa DSM ni hela nyingi,ni lazima wananchi walipe kodi ili viongozi wetu wapendwa,wazalendo,wanaitupenda wanyonge wafanye kazi zao bila stress na watunzwe vizuri wao na familia zao ili tufaidi matumizi sahihi ya akili zao.

Nawasihi polisi msicheke na kima,wasiolipa wale virungu vya kutosha na jela waende.Awamu ya wanaume hii, alpha male adminstration
lazima nchi inyooke hakuna kubembelezana.
 
Sheria gani inalazimisha mtu kuwa na hivyo vitambulisho? Kama hana kitambulisho si alipe kodi stahiki tu Makonda ndio maana ananenepa
Unajua fgharama za kumtunza Rc wa DSM peke yake,gharama a mafuta za lexus,infinity 2018,bmw x5?mna shida ya yeye kuwahudumia jiji lenu kwa kutumia ubunifu wake halafu hamtaki kugharamika? hela ilipwe tena na DSM waandishi wa habari wanunue hivyo vitambulisho kam ailivyo Iringa
 
Back
Top Bottom