This will NEVER happen in Kenya as Kenya mzungu anaogopewa kama AIDS. Kenya mzungu anapiga mfanyakazi na nothing will be done....Sasa njoo hapa Tanzania uone. Untouchables wa Kenya ni Kikuyus, wazungu, Indians, waarab.....yaani wakenya wana inferiority ya hajabu sana na ndiyo maana ukabila kwao hautakwisha.