GE2025 Dar: Vibe la Tundu Lissu baada ya kuingia chumba cha Mahakama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,160
Reaction score
11,228
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo Septemba 8, 2025 amefikishwa katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya kesi ya uhaini inayomkabili, kwa ajili ya usikilizwaji wa awali (preliminary hearing - PH).
 
Kitu ambacho wengi hawakioni, ni kwamba wahuni wamedhamiria kwa dhati kumnyonga kabisa lissu!...

Wahuni hawaangalii 2025...wanaangalia 20-30! .... wasichokijua...OCTOBER 29 BADO NI MBALI!
 
Umejuaje hayo Boss,
Best lesson ni kujifunza na kutoshabikia jambo lenye madhila kwa Taifa na mtu binafsi, Sheria zetu siyo katili kiasi cha kuutweza utu na utangamano wetu kama Taifa.
Kwa upekee, Nina matumaini makubwa kuwa haki itatendeka.
 
Kwenye mahakama ya vimemo
 
Back
Top Bottom