you are the same stupid guy always pointless
Nimeshinda kutwa bila kutukana MTU nakuweka kipolo ila ujitahidi hatakwa miguu najua nauli huna uje walau ulishike hili kwa mikono maana unayaonaga kwenye TV tu hahaha
Dhuks c kwa ubaya who remembers wen kidero wanted to launch minibuses zika nunuliwa 103 toka GM Halafu matatu association ika kataa kabisa ikisema zita fanya wasee wavutwe kazi
Eti nauli lol,,Mimi mkenya sio MTU wa kusukumana na watu ndani ya mabasi kama ulivuo zoea toka utotoni mwako na bado watoto wako waendelea vivyo hivyo aibu kwako,mbona hilo basi ni kama liko ile kibera ya zamani
waeleze haya mabisi yalifika Kenya zamani ni venye tu yalikataliwa
Hzi vitu ziko nivenye haziwezi tumika juu matatu association ilikataa kabisa.... Sasa zinatumika airport pekee
masaburi kile ni kitambi au shati limekaa vibaya?
In 2009, aina za mabasi makubwa za kisasa zenye rangi nyekundu ziliwekwa kwenye mabarabara za jiji ya Nairobi. Kuzitumia, wasafiri wangehitajika hata kutumia kadi, yani badala ya kumpa kondakta pesa, wewe ungeswipe kadi yako tu pale na hivyo kuweza kusafiri. Lakini kuna wadau kwenye sekta ya usafiri ambao walilipinga vikali mfumo huo, wakidai ingewakandamiza kibiashara na vijana wengi wangepoteza ajira.Kifupi mwaka huu sijapanda ndege na sitarajii Mimi treni mahala pake nshu nikuwa kuna faida gani kwa wananchi Wa chini endapo mabasi ya kisasa yatafanya kazi uwanja Wa ndege pekee!! Yatakuwa yawakenya au watalii!!
Eti nauli lol,,Mimi mkenya sio MTU wa kusukumana na watu ndani ya mabasi kama ulivuo zoea toka utotoni mwako na bado watoto wako waendelea vivyo hivyo aibu kwako,mbona hilo basi ni kama liko ile kibera ya zamani
Dude have you ever been in Nairobi?
Acha ushamba Kiraia. I know Nairobi very well. Ninapoingia Nairobi mchana nikiwa na Kenya Airways huwa napata view nzuri sana ya jiji la Nairobi. In fact, intra-city public transport in Nairobi is a big challenge
Ati vinisani tu? Kuna mabasi mengi sana Nairobi, zile za kutajika ni kama Double M, Citihoppa,Kenya Bus Services (KBS), Metro Shuttle,Rasasi,Ummoiner nk.... na pia zile zingine nyingi zenye michoro ambazo Paulo amesema ni za ki-Freemasonry.Acha uongo wewe....huna hata haya. Nairobi kumejaa vinisani tu vinavyomilikiwa na saccos. Hivyo kibera ilikuwa na mabasi makubwa lini....nairobi mmejazana wapagazi watupu na suti zenu za kuvua usiku kuzikaushia kwenye feni.
kupunguza foleni yatapunguza ispokuwa mji unakua kilasiku na shughuri zinaongezeka hivyo nimoja ya hatua njema kufuata nyingineNendeni mkalale wote nyie... mnahangaika na comments za huyo Paulo wakati yeye mwenyewe anajua alichosema ni kuwachokoza wakenya tu.. kama mwenyewe ameshafikaga Nbi mara nyingi kama anavyodai, ni anatuvuta miguu zetu tu, na sisi tunavutika.. hizo mabasi ndo kitu ya kutisha.. mbona mabasi zinazoenda mikoani ni luxury maradufu.. tuone kama kweli yatapunguza foleni yalivyokusudiwa..