Nairobi shocked? ?? With what? Hayo mabasi? ...huku ni kujitekenya na kucheka mwenyewe!
Hahaahahaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kujitekenya??? Wakati Nairobi inazindua matatu yaliyopakwa rangi za ajabu ajabu na freemasonry symbols, Dar wanazindua machines....​
Hivi wewe umewahi kupanda matatu Nairobi? kwanza kupata bus is an issue...halafu hawana mabasi ya kisasa. Haya mabasi yaliyoziduliwa dar this week ndiyo yanayotumiwa Ulaya pia...Huu uzi hauna mashiko kabisa, kwa kigezo kipi hapa eti kusema kwamba 'Nairobi is shocked big time'??!! Myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, kwa hili hatutendi haki kwa watani wetu wa jadi, si haki kabisa