Dar tupake rangi na tupambe daladala zetu

MissM4C

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,740
1,004
Je Wamiliki WA Mabasi Dar (Daladala) walikatazwa kupaka Rangi na kupamba mabasi yao????

Siyo siri daladala(city bus) zikipambwa hupendezesha na na kuvutia Wateja maana huonekana ni jipya na huvutia......

Ni mda sasa WA kupamba mabasi yetu na kuweka matangazo ubavuni ya kuvutia, hii hufanya yapendeze, sana......

Pia ni fursa kwa wapamba mabasi WA Nairobi kwenda kuwekeza na kutoa sample Jijini Dar, ARUSHA na Mwanza......

Sio siri matatu ya Kenya ni mazuri na hufanya yavutie abiria...
 
Magari yana rangi,hayajapambwa...

Kwanavyoona usafiri wa Dar wanashindwa kupamba kwa7bu wanajaza sana abiria na nauli zinakua nizilezile a Sumatra hakuna mbwembwe....

Manake wakipamba itabidi wawe tu wanajaza levelsit basi na haitakua na tija kutokana na ukweli kwamba nauli as dar ni ndogo kama ujuavyo!!
 
Public transport in "The city in the Sun"
PUnisher-Matatu-5-747x420.jpg
matatu-poll3.jpg
Ronga-mat.jpg
12677570_1872183123008530_920759754_n.jpg
10703513_772796919429996_6550445106867030039_n.jpg
11940190_484910878354440_531695527_n.jpg
matatus_nairobi_kenya-5672.jpg
4529473_matatu3_jpegfab732d5cdf82a01b322b81022cd3633
1280943.jpg
mapepe-1-960x600.jpg
BLUE-HAZE-RUAI-1024x721.jpg
12.jpg
 
Huu sio upambaji...It is just a manic work

Kweli mkuu, halafu wanasahau usafiri wa abiria jijini DSM upo chini ya usimamizi wa sheria (regulated) na hivyo umuhimu wa dala dala na mabasi kuwa na mfumo mmoja wa rangi na siyo ''vurugu'' kisa 'usanii wa graffiti''.

Hawa jamaa wa Nairobi kama hawana sehemu zao za kufanyia graffiti basi tuwapeleke kwa ''TingaTinga'' pale Morogoro Stores, Oysterbay jijini Dar-es-Salaam, Tanzania wakauze kazi zao badala ya kufanya matatu ni ubao wa kujifunzia usanii.
 
Hakuna MTU Tanzania atataka kupanda gari kwasababu inarangi tofauti. Nchi nyingi zilizo endlea kiusafiri mabasi na treni yana rangi sawa. Na rangi zinatofautiana pale tuu unapotoka mkoa moja kwenda mwingine kwa sababu za kiusalama na kodi. Lakini in one particular place, usafiri unakuwa na rangi ya aina moja. South Africa is same, UK is the same even USA ni hivyo hivyo. Rangi moja inakupa sense of identity of that particular city kuliko kuwa na mirangi mingi isiyo eleweka.
 
Kweli mkuu, halafu wanasahau usafiri wa abiria jijini DSM upo chini ya usimamizi wa sheria (regulated) na hivyo umuhimu wa dala dala na mabasi kuwa na mfumo mmoja wa rangi na siyo ''vurugu'' kisa 'usanii wa gaffiti''.
hahaha we dont need that useless BRT mnaosafirishia mpaka kuku...hehe yaani nyie washamba sana...
 
Hakuna MTU Tanzania atataka kupanda gari kwasababu inarangi tofauti. Nchi nyingi zilizo endlea kiusafiri mabasi na treni yana rangi sawa. Na rangi zinatofautiana pale tuu unapotoka mkoa moja kwenda mwingine kwa sababu za kiusalama na kodi. Lakini in one particular place, usafiri unakuwa na rangi ya aina moja. South Africa is same, UK is the same even USA ni hivyo hivyo. Rangi moja inakupa sense of identity of that particular city kuliko kuwa na mirangi mingi isiyo eleweka.
Nairobi's matatus are unique...one of a kind in the world...besides who said BRT cannot exist tgether with other means of transport...si nyinyi mna BRt na bado mna dala dala
 
zavutia sana nazipenda...ila pakeni daladala rangi kidogo...mwache hizi basi zibaki zilivyo..
Wamiliki wake sidhani kama wana mawazo hayo, muda mwingi kugombana na madereva si unajua uhuni wa madereva, Biashara za magari ngumu sana.
 
Je Wamiliki WA Mabasi Dar (Daladala) walikatazwa kupaka Rangi na kupamba mabasi yao????

Siyo siri daladala(city bus) zikipambwa hupendezesha na na kuvutia Wateja maana huonekana ni jipya na huvutia......

Ni mda sasa WA kupamba mabasi yetu na kuweka matangazo ubavuni ya kuvutia, hii hufanya yapendeze, sana......

Pia ni fursa kwa wapamba mabasi WA Nairobi kwenda kuwekeza na kutoa sample Jijini Dar, ARUSHA na Mwanza......

Sio siri matatu ya Kenya ni mazuri na hufanya yavutie abiria...

Halafu wakiongeza nauli kufidia hiyo gharama nani atalipia? Kumbuka Tanzania karibia kila kitu Serikali inasimamia na huwezi tu kuamka na kupanga unavyotaka wewe, kwa mfano nauli ya Dala dala Serikali ndiyo inapanga na ni lazima iandikwe mlangoni, Watoto na Wanafunzi wanalipia nusu ya nauli, sasa hizo gharama za kuwekeza kwenye Daladala na kupaka rangi kama Kenya nani atalipia?
Kenya wanaweza kwa sababu kila mtu anapanga nauli yake na hakuna nauli ya mtoto au Mwanafunzi!
 
Back
Top Bottom