Dar Tunasema: Ongea na Home Lowassa Awe Rais

Dar Tunasema: Ongea na Home Lowassa Awe Rais

Dr, push up akagombee nafasi ya stev nyerer kiti cha urais wa wasanii ndiyo fani anayoiweza
 
Ningekuwa Moderator ningeiweka hii iwe "Sticky" maana ni muhimu sana kwa faida ya maendeleo ya nchi yetu!
 
Yaan Nipoteze Muda Wangu Vocha Yangu Kumpigia Kampeni Huyu Edo Kwa Lipi Labda Angekuwa Dr Slaa Sio Huyu Kura Yangu Ni Kwa Magufuli Full Stop

Huna ujualo ww peke yako familia ya maaghfuli waeisha TOROKA UJE UKAWA
 
Wakuu kuna watu wanajiuliza kwanini Lowassa ana rudrud Dar es salaam, ,, Majibu mepesi ni Hapa ndio kuna kura za kutosha kuweka Msingi wa kura za kutosha
Na sie kama wakazi wa Dar a.k.a watu kuja,. Tunaanzisha kampeni inayoenda kwa ujumbe "ONGEA NA HOME LOWASSA AWE RAISI" hii ni kuwataka na kuwaomba wadau wote wa dsm kuwaomba maskani huko tutokapo watusaidie kujazia kura za Eddo hapa
Unachotakiwa kufanya ni rahisi sana kila jioni au ukipata muda Piga simu au Tuma sms home kuwakumbusha kumpigia Lowassa kura kwa msisitizo bila kujali Chama gani
Au vepeeee!Imani yetu ni kuwa watu wa dsm wanamzizi somewhere in TZ

Historia ya nchi hii itakuwana wewe
It's extremely gud and accomplishing idea
Ongea na home
 
Tengeneza icon kwenye sms yako ambapo kila ukituma sms inaapea kama slogan yako
Yes huduma hii ipo kwenye sim nying tu
 
Yaan Nipoteze Muda Wangu Vocha Yangu Kumpigia Kampeni Huyu Edo Kwa Lipi Labda Angekuwa Dr Slaa Sio Huyu Kura Yangu Ni Kwa Magufuli Full Stop

Wivu ule aliousemaga Mkapa...nakumbuka maneno yake ila nimesahau!
 
Back
Top Bottom