meca
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 403
- 201
Wakuu kuna watu wanajiuliza kwanini Lowassa ana rudrud Dar es salaam, ,, Majibu mepesi ni Hapa ndio kuna kura za kutosha kuweka Msingi wa kura za kutosha
Na sie kama wakazi wa Dar a.k.a watu kuja,. Tunaanzisha kampeni inayoenda kwa ujumbe "ONGEA NA HOME LOWASSA AWE RAISI" hii ni kuwataka na kuwaomba wadau wote wa dsm kuwaomba maskani huko tutokapo watusaidie kujazia kura za Eddo hapa
Unachotakiwa kufanya ni rahisi sana kila jioni au ukipata muda Piga simu au Tuma sms home kuwakumbusha kumpigia Lowassa kura kwa msisitizo bila kujali Chama gani
Au vepeeee!Imani yetu ni kuwa watu wa dsm wanamzizi somewhere in TZ