![]()
nice one, kushoto kuelekea Unguja na Kulia ni Pemba...
Hiyo haiwezekani 2020 labda 2050
Yaa!Yanawezekana baada ya kuyatoa mafisiem na kuuweka utawala wa wananchi kupitia UKAWA.
sina uhakika kwa umbali wa bara na pwani kuwa na daraja
sina uhakika kwa umbali wa bara na pwani kuwa na daraja
umbali kutoka zenj - bagamoyo ni km 30
Mkuu, hii ni mipango ya CEO msomi na mwenye PhD Dakta Dau na ndiye aliunveil hii kitu. Tanzania ya ndoto hii!Hiyo haiwezekani 2020 labda 2050