Dar Supa Uni Vipi Tena...?

Mitandao ya simu za mkononi inatunyanyasa sana!

Ila nashkuru nimejiunga sasa hivi imerudi japo wamepunguza dakika kwa mitandao yote wameacha dakika 20 baada ya 50 then hizo 30dk wamepeleka v to v.
 
Sasa kiongozi kwani wale wa Mbagala wanaweza kuunganisha watu bila ya kuunganishwa makao makuu kiongozi...?

Si watakuwa wamepata baraka zote kutoka ofisini bro...?
Swali la kujiuliza ni kwamba hizo matangazo uzikuta mbagala pekee kwanini?
Huzikuti mbezi kimara kigamboni wala tegeta!

Jiongeze mkuu kuhusu hawa wamachinga.
 
Wanafidia rambirambi walizotoa kwa mv nyelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…