ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,065 Reaction score 61,397 Nov 15, 2015 #1 Madhari ya maeneo karibu yote ya jiji ni ya utulivu wa kuridhisha.hali ya hewa pia inaridhisha,watu wako wachache mabarabarani Wana chit chat mpoo?
Madhari ya maeneo karibu yote ya jiji ni ya utulivu wa kuridhisha.hali ya hewa pia inaridhisha,watu wako wachache mabarabarani Wana chit chat mpoo?
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 Nov 15, 2015 #2 na hii mvua ya uongo na kweli ndo kabisa