figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,560
- 62,141
Pashu pashu za Wahindi DogoRisasi zinalindima Mbezi beach muda huu. Karibu na kwa Dr. Hiza.
Yaani mitutu inalia hadi raha. Utadhani 29.10.2025.
Je, ni Polisi au Majambazi.. Yaani jamaa wanapiga mtutu hata hawaogopi..
Wew wakati huo uko wapi mbona hujachukua hata video sasaRisasi zinalindima Mbezi beach muda huu. Karibu na kwa Dr. Hiza.
Yaani mitutu inalia hadi raha. Utadhani 29.10.2025.
Je, ni Polisi au Majambazi.. Yaani jamaa wanapiga mtutu hata hawaogopi..
Toyo Mbezi zikafanye mini??Utakuta ni zile toyo za kupasukapasuka zinapita kwa kujirudia ๐๐
umeandika uzi ukiwa upo chini ya uvungu wa kitanda, dirishani unachungulia nje ukiwa unezima taa, au umejifunika kabisa na blanketi zito hadi usoni, halafu ndio unaskilizia njungu zinavyomwagwa nje?Risasi zinalindima Mbezi beach muda huu. Karibu na kwa Dr. Hiza.
Yaani mitutu inalia hadi raha. Utadhani 29.10.2025.
Je, ni Polisi au Majambazi.. Yaani jamaa wanapiga mtutu hata hawaogopi..
Kule baharinni? Basi watakuwa wanakosea. Usiku mnene huu? Mboba wakristo tunakatazwa kupiga fataki mwaka mpya?Pashu pashu za Wahindi Dogo
Ni sawa mtu aseme toyo njiro usiku za nini wakati usiku toyo zipo kila mahali hasa za 3 mzuka.... Zinapita za kupasuka kisha zinakuja za kuwasachi watakaopatikana au zinapita za kupasuka kisha zinakuja risasi halisi ili kupoteza maboyaeToyo Mbezi zikafanye mini??
Ungesogelea hapo ukatuchukulia hata kavideo ka ushahidi mkuu kisha unakatupia hapa kwenye uzi tuone hizo risasi zinavyofanya mashindano ya kusafiri masafa marefuRisasi zinalindima Mbezi beach muda huu. Karibu na kwa Dr. Hiza.
Yaani mitutu inalia hadi raha. Utadhani 29.10.2025.