Mwenyeji wake Mtukufu John Pombe Magufuli.
Kufanya nini? Kabila anataka kubadilisha katiba atawale milele! Hafai kumtembelea Rais wetu atamwambukiza visivyofaa!Rais wa jamuhuri ya KIDEMOKRASIA ya Kongo amewasili Tanzania na kupokelewa na Mwenyeji wake Mtukufu John Pombe Magufuli.
Kabila,nimesikia kasogeza mbele uchaguzi mpaka 1918?..kweli?
Kabila, kagame... Mu7Rais wa jamuhuri ya KIDEMOKRASIA ya Kongo amewasili Tanzania na kupokelewa na Mwenyeji wake Mtukufu John Pombe Magufuli.
Karibu Tanzania Rais Kabila Taifa linakuhitaji ili tudumishe ujirani na urafiki wetu uliodumu kwa muda mrefu na Tunaufurahia Uwezo wako mkubwa wa kuwaongoza wakongo.