Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 15,166
- 16,254
Inasikitisha sana, familia imekaa zaidi ya siku kumi bila kujua alipo. Then inakuja kupata taarifa hii.Masikini jamani! Tangazo la huyo bwana nilikuwa naliona kwenye Tv kumbe watu tayari walishaondoka na uhai wa mtu, Mungu anawaona.
Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app