Dar: Polisi yawatia Mbaroni Watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya dereva wa Uber

Polisi unaweza kuiamini nusu nusu, hawa jamaa wanakaa mwenge hapo kituo cha polisi, ndipo ofisi zao zipo waliwahi kunitengenezea simu, mmoja Fundi maadhi ni fundi kabisa, mwingine urasa yeye huwa ananunua simu za magendo na kuuza tangia yupo Azam , wote wako ofisi moja, huyu wa kamera ndio simjui, inawezekana (Pasua) mnunua simu akauziwa simu ya wizi, polisi walikuja wakawadaka wote, ikienda Mwenge wanajulikana sana maana wamekuwepo miaka 15 tangu ikiwa stand. Hawana historia ya wizi uenda wamejiingiza karibuni au mmoja kawaingiza mkenge hawa wakiwa wanunuzi tu, mmoja amesomea ufundi kabisa hii technologia anijua vizuri sana sasa kufanya kitendo cha ujinga kama iki ndicho kinanishangaza. haya mtu mwenye roho yake uwezi kumwekea zamana lakini bado na duku duku na yuke mtuhumiwa numnber moja.
 
Mkuu hebu elezea ilikuwaje, weka na picha
nimekuwekea na picha
20200603_185407(0).jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polisi unaweza kuiamini nusu nusu, hawa jamaa wanakaa mwenge hapo kituo cha polisi, ndipo ofisi zao zipo waliwahi kunitengenezea simu, mmoja Fundi maadhi ni fundi kabisa, mwingine urasa yeye huwa ananunua simu za magendo na kuuza tangia yupo Azam , wote wako ofisi moja, huyu wa kamera ndio simjui, inawezekana (Pasua) mnunua simu akauziwa simu ya wizi, polisi walikuja wakawadaka wote, ikienda Mwenge wanajulikana sana maana wamekuwepo miaka 15 tangu ikiwa stand. Hawana historia ya wizi uenda wamejiingiza karibuni au mmoja kawaingiza mkenge hawa wakiwa wanunuzi tu, mmoja amesomea ufundi kabisa hii technologia anijua vizuri sana sasa kufanya kitendo cha ujinga kama iki ndicho kinanishangaza. haya mtu mwenye roho yake uwezi kumwekea zamana lakini bado na duku duku na yuke mtuhumiwa numnber moja.
pale mwenge stand ya zamani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom