DAR: Ofisi za IMMMA Advocates zawaka moto!

Haya matukio sio ya kufumbia macho...

Mara maiti zimeokotwa kwenye Viroba huko baharini....

Mara mtetezi wa Wanyama walio hatarini kutoweka kapigwa Risasi na kupoteza Maisha....

Mara watu kutekwa Nyara na kupotea rejea Ben Saa Nane...

Sasa hili tena la ofisi za Wanasheria kuvamiwa na kulipuliwa na kutekea kwa Moto ni Vizuri Mamlaka husika zifanye uchunguzi wa kina ili kubaini wahusika.....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vishindo viwili vya milipuko Kutoka direction za upanga vimesikika.

Nimeogopa sana!!

=======

Breaking News : Ofisi za IMMMA Advocates za wanasheria Fatuma karume na Ishengoma zimewaka moto Alfajiri ya Leo chanzo hakijajulikana
fb_img_1503724183035-jpg.575154
fb_img_1503724180617-jpg.575155
fb_img_1503724175211-jpg.575156

diijed5xkaakhcc-jpg.575176

"Tumepata janga kubwa, ofisi yetu imepigwa bomu uharibifu mkubwa Polisi wapo wengi nimefika hapa Upanga tangu saa 9, mtuombee" amesema Fatma Karume

======

From Tundu Lissu:

Good morning dear members.

I believe many of you will have, by now, heard of the bombing of the law offices of Messrs. IMMMA Advocates in Dar early this morning.

While it may be too early to say anything about the perpetrators of this most heinous crime or their motives, it must be clear that it's somehow connected to the work of IMMMA Advocates as lawyers and advocates.

That being the case, the bombing attack must be taken for what it really is: an attack on the freedom and independence of the lawyers and the legal profession.

Whatever the motives and whoever the perpetrators, this is unacceptable and intolerable.

As I said at the last AGM in March of this year, an attack on one member of our Law Society, must be taken as an attack on all members of the Society.

The time has now come to walk our talk. I've, in this regard, called an emergency meeting of the Governing Council to deliberate on this odious attack and propose a course of action to you members.

I ask you all to remain calm but vigilant during this tense moment. We'll appraise you of the deliberations of the Governing Council at the soonest.

I wish you well and please be safe.

Hon. Tundu AM Lissu
President
Mtafikia hatua ya kuanza kujichinja.
Jamani tumechinjwa na tumekufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh!
Mimi nahisi wahusika ni hao hao wamiliki wa hiyo ofisi na allies wao. Hapo kuna kitu wanaficha baada ya kushtukiwa underground movements zao, lakini tusubiri report ya wataalam tutajua mengi.
 
Walianza na kutolea CCM wenzao benduki hadharani ie Nape, Kigoma Malima huku wakiwakamata kamata watetezi wa kweli wa uvunjanji katiba na sheria.

Maiti kwenye viroba zinashamiri kama mizigo ya kawaida tu na hatimae sasa baada ya utekaji kutulia mabomu yameanza.

Hadi ifike 2O2O tutakuwa tunaona vifaru mabarabarani kama gari za kawaida tu,kisa kuna mungu mtu hataki kukkosolewa wala kushauriwa!!!
 
Walichofeli ni kwamba nyaraka zote muhimu zinahefadhiwa kwenye online drives mfano; Dropbox n.k.

U will nvr win assholes.

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Back
Top Bottom