DAR: Ofisi za IMMMA Advocates zawaka moto!

ngoj tusubiri maana pia huko ndo makao makuu ya wataalamu wa vita labda tunaweza kujuzwa kuwa ni some errors in technical official
 
Mleta mada sema tu ukweli...hazijawaka moto...watu walikuja..wakavamia ofisi...wakaiba nyaraka...halafu wakalipua mabomu. Sasa we jiulize nchi hii ni wakina nani ambao wana mabomu..halafu utapata jibu la nani kavamia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa rasmi zitatolewa baadaye na vyombo husika mimi nimeandika ambacho nimesikia
 
Haya yanatokea katika nchi ya ki demokrasia na yenye sifa ya kuwa kisiwa cha amani na utulivu.....

Ambapo kila baada ya miaka 5 panafanyika uchaguzi unaoitwa huru na wa haki kuchagua viongozi......ambapo baadae wanakuwa watawala........

8528919680af9bdffcf32ef99b641b27.jpg
 
Mkuu Tanzania hii hakuna amani...kuna utulivu tu. Na utulivu unakikomo

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom