kuna jamaa alitoka sumbawanga akaja dar kuroga.
akafika PPF tower,akawa amesimama mble ya jengo mahali penye mlango wa lift,mara wakaingia watu watatu,msichan mmoja na wanaume wawili,baada ya dk tano,wakatoka kwenye lift wazungu watatu,na akaingia mama mmoja,baada ya dakika tatu,wakatoka watu sita,.dah,jamaa akafungahsa virago,akasema mimi ni mchawi,lakini dar ni mwisho