Kamkuki JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 1,957 Reaction score 1,431 Aug 2, 2011 #41 kibonga said: makanisa uchwara kila kona Click to expand...
<br / Wauza sembe haooo!!
M Majala Kimolo JF-Expert Member Joined Aug 3, 2007 Posts 342 Reaction score 39 Aug 2, 2011 #42 chatu dume said: Tanzania nzima ni hatarishi kwa hivi sasa! Mkoa gani kuna umeme? Click to expand... Kagera upo, Lindi na Mtwara pia upo. Kwa orodha hiyo ndugu yangu hapa Maisha Bora kwa watu wa Dar ni ndoto kwa kuwa hata Mkuu wa Mkoa ni kaimu, Dar inaongoza kwa makazi holela, rushwa ya ardhi, viongozi na watumishi waserikali wezi, miundombinu mibovu kama Kilwa Road n.k..........
chatu dume said: Tanzania nzima ni hatarishi kwa hivi sasa! Mkoa gani kuna umeme? Click to expand... Kagera upo, Lindi na Mtwara pia upo. Kwa orodha hiyo ndugu yangu hapa Maisha Bora kwa watu wa Dar ni ndoto kwa kuwa hata Mkuu wa Mkoa ni kaimu, Dar inaongoza kwa makazi holela, rushwa ya ardhi, viongozi na watumishi waserikali wezi, miundombinu mibovu kama Kilwa Road n.k..........
L lombardin Member Joined Jul 7, 2011 Posts 34 Reaction score 7 Aug 2, 2011 #43 ngoma za mkoleni kila mwisho wa wiki - haswa wilaya ya Temeke .
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,731 Aug 2, 2011 #44 lombardin said: ngoma za mkoleni kila mwisho wa wiki - haswa wilaya ya Temeke . Click to expand...

HAHAHA FULL UKIMWI LOOOL,HIVI HAO WAZARAMU HAWAONI KAMA MAMBO YAMEBADILIKAAAAA? KHAAA WAPUNGUZE UPMBAV BANAAA
lombardin said: ngoma za mkoleni kila mwisho wa wiki - haswa wilaya ya Temeke . Click to expand...

HAHAHA FULL UKIMWI LOOOL,HIVI HAO WAZARAMU HAWAONI KAMA MAMBO YAMEBADILIKAAAAA? KHAAA WAPUNGUZE UPMBAV BANAAA