Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
Tena unawaagiza kutoka Japan, baada ya kuwa umejua kuwa wana mionzi ya nyuklia!
miziki kwa sauti ya juu uswazi kwetu! Hakuna kulala!
hapo mdundiko haujapita ukasomba watoto!tena maranyingine wazaramo wanasaula nguo eti sijui sasambu taarabu kwenda mbele makalio manyonyo vyooote waziwazi
kwakweli hili jiji noumer! Huko tandale redio zmewekwa masaa ya uongo sa nane usiku kaseti imerekodiwa inasema sa sambili usiku, vinywaji, nyama ambazo hazijapimwa na mataptap yooote yanaliwa pande pamoja na wanawake ambao hawajali hata kidogo matumizi ya condom tena kwa hata miambili hamsini unapata katoto kadogo huko uwanja wa fisihapo mdundiko haujapita ukasomba watoto!
Huo ni ujasiriamali.Yaani Dar jimama ngozi ya mwili imechoka lakin unamkuta na mtoto eti anakalea kimapenzi!!Mababu hivyo hivyo..makanisa uchwara kila kona
biashara ya kila aina mpaka ya kukodisha watu wa kulia msibani..
nisaidie tofauti hapo kwenye redNi imani yangu kuwa mtaniunga mkono kwa hoja zangu kuwa Dar ni eneo hatarishi kuliko maeneo yote nchini TZ. Ni eneo la hatari sana kwa sote kwa maana kwamba wale wenye nazo na kina sisi wakeshaohi. Haya ni mambo yanayofanya Dar kuwa si mahali salama:
ndg, ebu ongezea
- kuwa na vishawishi vingi vyenye kuvutia mahusiano ya ngono matokeo yake HIV
- Kuwepo kwa wimbi kubwa la vibaka na wezi, matapeli nk
- Uchafu wa mazingira uliotukuka
- Harufu mbaya takribani maeneo yote yakiongozwa na Kwatumbo, Gaitimaji UDSM, Kivukoni karibu na Waziri mkuu nk
- hadha kwa wanafunzi wanaosoma day
- Msongamano wa magari na huduma za jamii hasa bank ya NMB
- Mgao wa umeme (kwa Dar ni hatari zaidi kwakuwa watu wengi hutegemea umeme)
- Rushwa na kutofatwa kwa sheria
- uwepo wa dawa za kulevya na watumiaji wengi
- Ombaomba wegi na vichaa na wehu
- kuna magonjwa ya milipuko hasa kipindupindu Buguruni ikiwa inaongoza
- Minara mingi ya simu ambayo husambaza mionzi hatarishi
- kuwepo bidahaa feki kwa wingi vikiwemo vyakula
- ukosefu wa utawala bora kwa kulemewa na miundombinu
- ..............
<br /> <br / Wale jamaani wajanja umeme wao walichukulia Uganda baada ya kuona rongolongo ktk nchi yao!<font size="3"><span style="font-family: times new roman">kagera</span></font>