Paul Kijoka
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 1,399
- 256
+ misafara ya magereza+ kuwapo kwa mbu wengi hasa wale waliozalishwa katika viwanja vya jangwani.+ kuwepo na kuzagaa kwa mabomu yaliyochimbia arhini ktk makazi ya watu.+ kuwepo kwa wageni wengi.......................................misafara ya jk KILA KUKICHA
Tanzania nzima ni hatarishi kwa hivi sasa! Mkoa gani kuna umeme?
Tena unawaagiza kutoka Japan, baada ya kuwa umejua kuwa wana mionzi ya nyuklia!Hakuna maji!!!,
samaki wenye mionzi ya nuklia