Dar na New York zapewa tuzo

wandamba

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
510
839
Jiji la Dar es Salaam limechukua tuzo ya Bloomberg Philathropies kutokana na mradi wa mabasi ya mwendokasi DART ambao umepunguza foleni barabarani na uchafuzi wa hali ya hewa

Usafiri huu unahudumia watu zaidi ya 200,000 kwa siku, Dar imechangia tuzo hiyo na jiji la New York Marekani

 
Kweli kabisa tena zimepishana 2%, NY 92% na Dar 90%. Tuwe wazalendo.
 
Daah, unafananisha dar na new york, naona soon kutakuwa na mkutano na waandishi wa habari ikulu
 
Pongezi kwa viongozi wenye malengo na mikakati kama kina JK.
 
Ilisemwa kwenye taarifa ya habari ya BBC Swahili ya saa 3 usiku. Lazima kila mtu akubali kwamba JPM siyo wa mchezo, ni mbele kwa mbele!!
Wewe vyote vilifanywa na kikwete usimpe sifa asiyehusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…