Dar na New York zapewa tuzo

Dar na New York zapewa tuzo

wandamba

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
510
Reaction score
839
Jiji la Dar es Salaam limechukua tuzo ya Bloomberg Philathropies kutokana na mradi wa mabasi ya mwendokasi DART ambao umepunguza foleni barabarani na uchafuzi wa hali ya hewa

Usafiri huu unahudumia watu zaidi ya 200,000 kwa siku, Dar imechangia tuzo hiyo na jiji la New York Marekani

 
Kweli kabisa tena zimepishana 2%, NY 92% na Dar 90%. Tuwe wazalendo.
 
Daah, unafananisha dar na new york, naona soon kutakuwa na mkutano na waandishi wa habari ikulu
 
Pongezi kwa viongozi wenye malengo na mikakati kama kina JK.
 
Watoa tuzo kuna kitu wanataka sasa wameanza kutu fool
Siku ukiambiwa mzazi wako ana akili kubwa kuliko Trump unaweza kusema sio kweli jata kama eamefanyiwa kipimo cha IQ na mzazi wako kapata alama za juu.
 
Mm nilifikiri tuzo ya wingi wa mabango ya kuongeza nguvu za kiume
 
Duh itakuwa moja wapo ya maajabu ulimwenguni!!!!
 
Back
Top Bottom