Dar msingi kiuno,pesa/vyeti makaratasi

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,814
Kama mjuavyo Jiji la Dar es salaam lina kila raha za mapenzi sasa wenzangu na mimi mnaopenda yale mambo yetu ya mapenzi si lazima uwe na pesa au vyeti/kazi nzuri kumpata mwanamke umtamanani.

La muhimu ujue kumkaza vizuri mpenzio mkiwa kitandani na umfikishe. Hapo kila kitu utapewa ila siku akikasirika jiandae na makofi kama si mitama. Aisee u Marioo kazi si mchezo.
 
kukojoa tu mnaona inshu wakati demu wangu hadi kunya anakunya dadadeki
 
Tafuteni pesa achaneni na UMARIOO silaha mjini ni pesa
 
AISEEE tafuta ela utazikwa kilo mbili

tafuta ela uzitumie utakavyo na umpate mtu umtake
 

ishiiii jiliwaze tu mjini pochi wenye nazo wanakula minofu. akina wew mtaishia mifupa.
 
kwa wale vijanaa wapenda majimama haya sasa nawaletea MAMA KUBWA (jina kapuni) 0785680468 ila uwe na uhakika kazi unaiweza kweli sio bao 5 unaanza kulia lia.
 
kweli sikio lakufa sasa unaacha kupost mambo muhimu unatuletea mambo ya msingi kiuno yatatusaidia nn bana hebu badilika bana
 
Dogo hii biashara kapeleke fb uweke na picha kabisa!
 
AISEEE tafuta ela utazikwa kilo mbili

tafuta ela uzitumie utakavyo na umpate mtu umtake

kwani kumpata mwanamke mpaka hela??? toka nilipo balehe wanawake nilikuwa nawapata bureee bila hata ushuru na sahizi nimekuwa na nina shughuri yangu basi wanawake ndo sitongozi wanakuja tu wenyewe tena wanabembeleza vibaya mno.natumai hata wewe bwana wako unambembeleza kishenzi
 

mkuuu uzi wa zamani sielewi hata tulichokua tunazungumza
 
Daah kwa hiyo mkuu unapendekeza tuache kusoma/kutafuta maarifa/vyeti tujikite katika kusugua kina dada sio?
 
kwa wale vijanaa wapenda majimama haya sasa nawaletea MAMA KUBWA (jina kapuni) 0785680468 ila uwe na uhakika kazi unaiweza kweli sio bao 5 unaanza kulia lia.

anauza, anagawa bure?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…