Jamaa si ametoa link hapo kuwa hiyo teknolojia imeanzi miaka ya 1940 usiwe mvivu bwana mdogo...huu ni ulimwengu wa habari....na kuna vyanzo vya habari kila kona.....ingia google
Bado upo kwenye zile triple K...Kifo, Kaburi, na Kuzimu...kila siku lazima ufikirie kimojawapoππππ sidhani kama ningekuwa nishavuta, kwani Kingunge hakuwepo miaka hiyo?