LAKI SI PESA mkuu tunaomba tusaidie kunakaubishi kdg hapa eti buku 7 huwa mnalipwa kwa siku au kwa mwezi
Kamuulize mumeo
LAKI SI PESA mkuu tunaomba tusaidie kunakaubishi kdg hapa eti buku 7 huwa mnalipwa kwa siku au kwa mwezi
Samaki mchanga wape bigup wana Dar es salaam ....wana ukawa wamepata 25% ccm 75% lakini unajua kuwa serikali nzima inaishi Dar? usalama wote wanaishi Dar ....wakuu wote wa majeshi wako Dar .......wajuaji wote ...wasoma magazeti wote ..much know wote wanashi Dar......Samaki mchanga vita ni kali kuliko mikoani ....sasa unadhani ccm hapa Dar ndipo ikulu ipo ....ghafla tu wakubali wapokwe Dar .....taratibu ndiyo mwendo tutaelewana tu ni jambo la Muda
Mleta uzi hana uchambuzi wa maana.Nani ka gain katika uchaguzi huu?vilikuwepo vitongoji vichache sana Dar lakini sasa kata nzimanzima zina ongozwa na wapinzani.hata ukuwa uliza ccm makini wanajua na wanatafakari kasi ya kupoteza mitaa.Ina maana tukirudia kama kasi ndiyo hii na mapingamizi ya sipokuwepo ccm kita kuwa chama cha upinzani,jambo ambalo litafanya wajinyonge
UKAWA imeanguka Tanzania nzima si Dar pekee.
Fananisha 80% na 20% halafu bado mna kauli?
Kama ulikuwa na viti 153 M/kiti SM mwaka 2009, halafu mwaka huu2014 ukapoteza viti 78 hapo unakuwa umeshinda au umeshindwa!? Au mnashinda kwa mapingamizi na ubabe wa hujuma!?
Faizafoxy.......Naona hauchezi mbali na hekaya za Nape ......80% ccm wataitoa wapi dada yangu?........Hebu jiulize hapa Dar ambapo UKAWA haukupata mitaa ya kutosha lakini wana 25%... vipi Mara, Manyara, Mwz,shinyanga, Geita, Morogoro, Kagera ....?Sasa Faizafoxy ukiendelea kupiga kelele nitayabandika hapa matokeo kwa kila Mkoa na % zake......Kwa haraka haraka Ukawa wana 39.75% mpaka sasa ....na tukifanya probabilities ..ya yale majimbo mliopita bila kupingwa ....sijui .....Angalia fauzafoxy mna zaidi ya mitaa 300 ya bure ....je UKAWA wasingepata mitaa 50 kati ya hiyo 300? .....sasa Subiri .......Jambo la kufurahisha vijana wameamka ...Hata ukipoteza vyote 153 lakini Kitaifa kama una 80% na wapinzani wooooooote wana 20% unabaki kuwa mshindi tena kwa kishindo.Ushindi huo aliupata Kikwete dhidi ya Mbowe mwaka 2000. Mbowe hakurudi tena kugombea Urais kwa maumivu aliyoyapata.'Hata umfufue Einstein hatoweza kukupa jibu mbadala.
Hata ukipoteza vyote 153 lakini Kitaifa kama una 80% na wapinzani wooooooote wana 20% unabaki kuwa mshindi tena kwa kishindo.
Ushindi huo aliupata Kikwete dhidi ya Mbowe mwaka 2000. Mbowe hakurudi tena kugombea Urais kwa maumivu aliyoyapata.
Hata umfufue Einstein hatoweza kukupa jibu mbadala.
Hapa Dar wanaishi maisha mabovu sana,lakini mimi nahsi wachache tunaojitambua pale tulipo tumwage elimu kitaeleweka.
Mfano mzuri ni hii kata nilipo ya Segerea yote na mitaa yake 8 ilikuwa ccm.Tumemwaga sumu na baada ya uchaguzi mitaa mitano imekwenda UKAWA. nayo ni
Amani,Ugomborwa(anakoishi Makongoro Mahanga),Migombani,Liwiti na Mfaume.
Wao ccm wamebaki na mitaa miwili ya Machimbo na Misewe(hii yote ni mitaa mipya).
Mtaa wa Segerea mwenyekiti ni ccm na mjumbe mmoja ila walobaki ni UKAWA.
Diwani ni chadema,kwahyo Dar mabadiliko yapo ila kasi ndogo.
Nilishasema humu wakazi wengi wa Dar ni waswahili (hawajaelimika, wavivu, wacheza vigodoro) wakifuatiwa na wezi wa maofisini (wanaogopa ukiwa kinyume na CCM unapelekwa Namanyere), malaya/mashangingi, mateja/wapiga debe, wapambe na wafanyabiashara wakwepa kodi (pinga CCM ukione) so kumuondoa huyu mdudu CCM kazi ipo!
Ngoja waje na hang over za viroba vya manzese wakujibu.
dar ukitaka kuwapata uandae ubwabwa!
_pili maji na foleni ndio zinawapotezea muda mwingi katika maisha yao
_mimi ninaishi kijijini na nafurahia sana hapa kuliko huko kwenye hizo kero kuu
Nilishasema humu wakazi wengi wa Dar ni waswahili (hawajaelimika, wavivu, wacheza vigodoro) wakifuatiwa na wezi wa maofisini (wanaogopa ukiwa kinyume na CCM unapelekwa Namanyere), malaya/mashangingi, mateja/wapiga debe, wapambe na wafanyabiashara wakwepa kodi (pinga CCM ukione) so kumuondoa huyu mdudu CCM kazi ipo!
Uliyosema yanaukweli flan lkn SPEED yetu watu wa DAR kuelekea kwenye mabadiliko haildhishi.....!!