Dar mnatuangusha sana wana UKAWA

Dar mnatuangusha sana wana UKAWA

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
2,024
Reaction score
1,237
Kwanza mlikuwa wa mwisho kimkoa katika kujiandikisha kura za serkali za mitaa mmeona sasa said merk sadiki anavotamba hapo diamond jubilee,hivi mko upande gani wa mabadiliko au nyie ni kujirusha tu na kushabikia mipira,miziki,taarabu.eti nawauliza tena .je hamjui ushindi wa ukawa utatokea kwenu mkiamua,uliza mwaka 1995 ilikuwaje kura za dar zilipovurugwa?mi sipendi hebu BADILIKENI haraka
 
dar ukitaka kuwapata uandae ubwabwa!
_pili maji na foleni ndio zinawapotezea muda mwingi katika maisha yao
_mimi ninaishi kijijini na nafurahia sana hapa kuliko huko kwenye hizo kero kuu
 
Wameshawashtukia ukawa wazushi tu bila tukio hawana la kuwahadaa wananchi. Wala ruzuku tu.
 
Kwanza mlikuwa wa mwisho kimkoa katika kujiandikisha kura za serkali za mitaa mmeona sasa said merk sadiki anavotamba hapo diamond jubilee,hivi mko upande gani wa mabadiliko au nyie ni kujirusha tu na kushabikia mipira,miziki,taarabu.eti nawauliza tena .je hamjui ushindi wa ukawa utatokea kwenu mkiamua,uliza mwaka 1995 ilikuwaje kura za dar zilipovurugwa?mi sipendi hebu BADILIKENI haraka

Ni Ukweli mtupu.......
 
Samaki mchanga wape bigup wana Dar es salaam ....wana ukawa wamepata 25% ccm 75% lakini unajua kuwa serikali nzima inaishi Dar? usalama wote wanaishi Dar ....wakuu wote wa majeshi wako Dar .......wajuaji wote ...wasoma magazeti wote ..much know wote wanashi Dar......Samaki mchanga vita ni kali kuliko mikoani ....sasa unadhani ccm hapa Dar ndipo ikulu ipo ....ghafla tu wakubali wapokwe Dar .....taratibu ndiyo mwendo tutaelewana tu ni jambo la Muda
 
Nilishasema humu wakazi wengi wa Dar ni waswahili (hawajaelimika, wavivu, wacheza vigodoro) wakifuatiwa na wezi wa maofisini (wanaogopa ukiwa kinyume na CCM unapelekwa Namanyere), malaya/mashangingi, mateja/wapiga debe, wapambe na wafanyabiashara wakwepa kodi (pinga CCM ukione) so kumuondoa huyu mdudu CCM kazi ipo!
 
Hapa kimara mwisho ccm 1 Chadema 5 wenyeviti.Diwani,mbunge ni chadema na kura za urais Slaa aliongoza.
 
Ukawa si mnawatukana watu wa Dar kuwa wanakula miguu na utumbo wa kuku?
 
Kwanza mlikuwa wa mwisho kimkoa katika kujiandikisha kura za serkali za mitaa mmeona sasa said merk sadiki anavotamba hapo diamond jubilee,hivi mko upande gani wa mabadiliko au nyie ni kujirusha tu na kushabikia mipira,miziki,taarabu.eti nawauliza tena .je hamjui ushindi wa ukawa utatokea kwenu mkiamua,uliza mwaka 1995 ilikuwaje kura za dar zilipovurugwa?mi sipendi hebu BADILIKENI haraka
Mkuu wala usiwe na shaka juu ya hilo UKOMBOZI wa pili unakaribia! Ukiona WAZARAMO wameshaanza kujitambua, tayari ujue mwakani 2015 kazi ipo! Kule Kimanzichana-Mkuranga inasemekana wamechagua wajumbe wote wa CUF kakini Mwenyekiti ni wa CCM cha ajabu matokeo yametangazwa saa 10:00 usiku baada ya shinikizo kali kutoka kwa mtu mmoja mkubwa na mtawala anayetoka jimbo hilo!
Kwahiyo mi nakutaka usihofu juu ya hilo!
 
Laki pesa .....UKAWA tunaendelea kujifunza maana pana ya neno Umoja....ccm 2015 watashangaa ....ni pale mameya 2-3 Dar watakapotoka Ukawa .....Laki pesa subili ....imebaki miezi 6 kabla ya bunge hili kuvunjwa ....ni jambo la muda tu ....
 
Oya tumambo yamsingi yakufanya sio kupoteza muda kupanga foleni kujiandikisha au kupiga kura maisha yetu mchakamchaka hatuna siku ya kupoteza sawaa
 
Samaki mchanga wape bigup wana Dar es salaam ....wana ukawa wamepata 25% ccm 75% lakini unajua kuwa serikali nzima inaishi Dar? usalama wote wanaishi Dar ....wakuu wote wa majeshi wako Dar .......wajuaji wote ...wasoma magazeti wote ..much know wote wanashi Dar......Samaki mchanga vita ni kali kuliko mikoani ....sasa unadhani ccm hapa Dar ndipo ikulu ipo ....ghafla tu wakubali wapokwe Dar .....taratibu ndiyo mwendo tutaelewana tu ni jambo la Muda

Hizo 75% ukiondoa mapingamizi wanabakiwa na % ngapi?
 
Ukawa si mnawatukana watu wa Dar kuwa wanakula miguu na utumbo wa kuku?

Hilo sio tusi..bali ni kuwaamsha watu wa Dar waache kuikumbatia magamba. Wwnzao wanajukula kuku wao wanakula miguu ya kuku na utumbo mchafu wa kuku gross!
 
Samaki mchanga wape bigup wana Dar es salaam ....wana ukawa wamepata 25% ccm 75% lakini unajua kuwa serikali nzima inaishi Dar? usalama wote wanaishi Dar ....wakuu wote wa majeshi wako Dar .......wajuaji wote ...wasoma magazeti wote ..much know wote wanashi Dar......Samaki mchanga vita ni kali kuliko mikoani ....sasa unadhani ccm hapa Dar ndipo ikulu ipo ....ghafla tu wakubali wapokwe Dar .....taratibu ndiyo mwendo tutaelewana tu ni jambo la Muda

Uliyosema yanaukweli flan lkn SPEED yetu watu wa DAR kuelekea kwenye mabadiliko haildhishi.....!!
 
Walishajua uongo wa UKAWA wanawahadaa wananchi hawana propaganda zaidi ya skendo 2 kuzoza zoza
 
Kwanza mlikuwa wa mwisho kimkoa katika kujiandikisha kura za serkali za mitaa mmeona sasa said merk sadiki anavotamba hapo diamond jubilee,hivi mko upande gani wa mabadiliko au nyie ni kujirusha tu na kushabikia mipira,miziki,taarabu.eti nawauliza tena .je hamjui ushindi wa ukawa utatokea kwenu mkiamua,uliza mwaka 1995 ilikuwaje kura za dar zilipovurugwa?mi sipendi hebu BADILIKENI haraka

Kata yangu ya Mabibo,jumla ya mitaa 4, Ukawa 3, CCM 1.
 
Rich Pol
hicho chama tawala kinatawala nini?
~~~~~~

naomba unishawishi niwezi kuichagua ccm 2015 kwenye uchaguzi mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom